Recent content by Kiganda

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa mwaka wa pili udsm,akutwa amejinyonga.

    Ni ujinga kujiondoa uhai. Angekuwa kule kwetu maiti inapigwa viboko kadhaa kabla ya kuzikwa ili liwe fundisho kwa wengine.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Diet hayo

    Mkuu huwezi kuchangia bila neno 'kugegeda'? Maana hadi kero kwenye comments zako. Hivi unajua madhara ya kurudia rudia maneno? Ni kwamba unabatizwa jina. Kuanzia sasa wewe ni Mr. Kugegeda.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sisi wanaume wafupi hatupendwi na wanawake?

    Kweli Mungu hakunyimi kila kitu. Kimo futi 4 dushelele inchi 6 duh!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msiba mzito wamkumba mwenzetu: KOKUTONA apoteza mtoto wake!

    Pole mwenzetu ni mapenzi ya Mungu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat!

    Taratibu mkuu! Kwa kosa gani ndo umuite malaya?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela wa ITV

    Aangalie na yeye yasije kumpata yaliyompata Jerry Muro maana ngoma ikizidi kusifiwa ujue inakaribia kupasuka.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wote wananikataa!

    Je wewe una kasoro gani? Jaribu kuwa simple utawapata wengi. Mwanamke kiumbe wa ajabu, wengi hupenda kuambiwa maneno matamu kwa lugha laini.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom Mpesa ni matatizo matupu

    Kama wakala alikuwa hapokei simu wasingeweza kukurudishia hela japo kwa wakati huo kiasi kama hicho kinakuwa kimezuiliwa kwenye akaunti ya wakala. Kumbuka wapo pia wajanja wanaotoa hela kweli na kudai hawajatoa, je wakirudishiwa si wakala atakula hasara? Next time jaribu kuwa makini maana kuna...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Askari Auwawa na Majambazi Tazara

    Askari kauwawa kwa kupigwa kichwani na kitu chenye ncha kali. R.I.P askari.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba maeneo ya sinza, kijitonyama, kinondoni

    Kwa ufupi nenda maeneo husika na uonane na madalali utaweza kupata nyumba kwa urahisi. Angalizo kuwa makini na madalali maana wapo ambao siyo waaminifu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Uoga wa kujumuika (Social Phobia)

    Hapo siongezi kitu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dereva daladala auwawa kwa kupigwa risasi Sinza Kumekucha

    Asante mkuu sikuweza kupiga picha.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dereva daladala auwawa kwa kupigwa risasi Sinza Kumekucha

    Unajua hasira inaweza kukupelekea kufanya maamuzi yasiyo sahihi. Ukute ni gari la mkopo na mkopo wenyewe hujaumalizia au umehenya miaka zaidi ya kumi ukidunduliza visenti vyako halafu jamaa anakuburuza bila ya hata kusema samahani inauma niaje!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dereva daladala auwawa kwa kupigwa risasi Sinza Kumekucha

    Yaani haijulikani hawa watu walikuwa na nia gani na dereva daladala. Too sad. Kama angekuwa mtu mkubwa hapo tungesema tusubiri ripoti ya tume maana kila jambo ni tume.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Dereva daladala auwawa kwa kupigwa risasi Sinza Kumekucha

    Huu ni unyama wa aina yake. Inasemekana hakuna abiria aliyepoteza maisha.
Back
Top Bottom