Vodacom Mpesa ni matatizo matupu

Vodacom Mpesa ni matatizo matupu

Kuna jamaa yangu alikuwaga uko ila alifariki iyo issue kwake robo saa nyingi tena bila rushwa.
Waibukie ofisini kwao
 
Kuna jamaa yangu alikuwaga uko ila alifariki iyo issue kwake robo saa nyingi tena bila rushwa.
Waibukie ofisini kwao

Ooops. Sorry kwa jamaa yk. Nishasaidika mkuu. Tena hapa2 dk 0
 
Ooops. Sorry kwa jamaa yk. Nishasaidika mkuu. Tena hapa2 dk 0

Huu ndio kwa rushwa au? Mbona m pm ana bila kuachia wazi na wengine wapate majibu wakiwa ktk shida hii. Au fii forum sio ya kusaidiana?
 
Kama wakala alikuwa hapokei simu wasingeweza kukurudishia hela japo kwa wakati huo kiasi kama hicho kinakuwa kimezuiliwa kwenye akaunti ya wakala. Kumbuka wapo pia wajanja wanaotoa hela kweli na kudai hawajatoa, je wakirudishiwa si wakala atakula hasara? Next time jaribu kuwa makini maana kuna ujumbe unakwambia kuhakiki unachotaka kufanya kabla ya kukubali.
 
wazee wa next...next...kila jibu yeye anaweka 1 na kutuma...
 
wazee wa next...next...kila jibu yeye anaweka 1 na kutuma...

Kweli kabisa mkuu hii hatamimi ilisha nitokea kwenye *149*01# nimekariri huduma wajanja Knight offer ni chaguo la 3 kumbe siku hiyo imebadilishwa na kua chaguo la 4 basi harakaharaka nika connect ki modem kuja kustua salio linasoma Tsh. 0
 
Hahahaah Gefu basi na mie nimefungasha huku nyuma nakuja

...twenzetu wabongo si unajua hatujui kuwawajibisha watu wenye customer care mbovu ndo maana hawabadiliki Lady G tulianzishe watakuja tu..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu pole sana.

Siyo kila mara inakuwa hivyo wakala akiwa na ushirikiano hata hayo masaa 24 hayafiki.

Mi ilinitokea tigo zaidi ya mwezi pesa haijarudi,ukiwakomalia wanakwambia inabidi wakala kumjulisha wakala maana

mawakala wamekuwa wakipunguziwa hela bila sababu sasa wamekuwa wakali.

Ilibidi sasa nami nitumie mshikaji wangu ambaye alikuwa tigo akanirudishia bila kufuata protokali!..
 
habari ndugu zangu. Naomba kwa ambae lilishawahi kutokea hili kwake anisaidie nijue kama natendewa haki na Vodacom Mpesa.

Tarehe 3.3 nilikua natoa pesa bahati mbaya nikakosea nikatuma kwa namba tofauti ya wakala. Nililipoti tatizo cku hyo2 wakanambia ndani ya masaa 24 ntakua nimerudishiwa pesa yangu. Kinachonisikitisha mpk leo pesa yangu haijarudishwa nikiwapigia wanasema wakala hapokei cm.. Ndg zangu hv inaingia akilini wiki 2 inaenda ya 3. Vodacom wameshindwa kunisaidia eti wakala hapokei cm? mbona ikitokea mteja wa kawaida katumiwa pesa kimakosa huwa wanablock acc yake? Jamani nifanyeje nipate haki yangu kwa wakati? uhuni huu nimeshindwa kuvumilia. thanx for ur constructive advice. May God bless u.
Pole sana,mimi pia nilikuwa natuma pesa Bank kutoka MPESA sasa wiki moja sasa mpaka leo Pesa hazijafika kwenye Account yangu nimejaribu kufuatilia Vodashop Mtaa wa Samora mpaka leo nazungushwa kwakweli ni aibu kubwa kwa Kampuni ya Vodacom.Kwa sasa sitatumia tena huduma yao ya MPESA hadi watakaporudhisha Pesa zangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom