Recent content by Kifwambala

  1. Kifwambala

    Mtoto kucheua maziwa puani

    Mwanangu pia ana tatizo hilo ulipata dawa
  2. Kifwambala

    Diamond amefikisha followers mil 7 leo

    jamaa anajua wanaoponda ni chuki tu na wivu. halafu naona wasomi ndo wana hasira maana wanaona bwana mdogo hakusoma na maisha ametusua wakati wao wamezeekea mashuleni na bado wanazunguka na maabahasha.
  3. Kifwambala

    Kama kweli Mungu yupo inabidi aniombe msamaha

    utamshukuru nani zaidi ya Mungu na ninani mtoa riziki kama si yeye unafikiri Mama yangu ana uwezo wa kutoa riziki? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Kifwambala

    Kama kweli Mungu yupo inabidi aniombe msamaha

    wenye ulemavu wa viungo wanaimba na kumsifu Mungu wao wewe umzima lakini unakufuru. ukiambiwa urejeshewe Mama yako na achukue macho na Miguu yote au mikono yote unge chagua nini. Hata mimi nimeondokewa na mzazi mmoja ambae alikua tegemeo langu mpaka sikuendelea na form five lakini kiugumu...
  5. Kifwambala

    Kama kweli Mungu yupo inabidi aniombe msamaha

    kama wewe una uwezo wa kuumba au kumiliki uzima wa mtu basi atakuomba msamaha lakini kama binadamu amekopeshwa uhai na haulitambui hilo basi uombe msamaha kwa kile ulichokiandika. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kifwambala

    Je, asili ya majini ni ipi?

    Tuwaulizeni nyie ndugu mnasema majini yalikua ardhini kabla ya binadamu vitabu vinasema Mungu aliumba dunia hii kwa siku saba ikiwemo ardhi na anga , binadamu na viumbe vingine. Sasa majini yalikaa muda gani ardhini maana Quran inasema majini yaliumbwa baada ya ibilisi kujitapa yeye kaumbwa kwa...
  7. Kifwambala

    Je, asili ya majini ni ipi?

    Nawewe Soma Quran 2:113 uone ipi ni dini maana mnatuulizaga kila siku ukristo ni dini
  8. Kifwambala

    Je, asili ya majini ni ipi?

    Hivi mnao amini Quran mumelogwa au ni kitu gani yaani na usomi wenu mnaweza mkamchambua Mwanasiasa kua ni mwongo papo kwa papo lakini maandishi yaliyopo kwenye Qura yapo tangu hamjazaliwa mnashindwa kuichambua? Yaani nimepitia kwa dakika kadhaa hii Quran nimeona bora nifunike maana...
  9. Kifwambala

    Ukiwa na Fikra huru, utagundua kuwa makundi mengine si ya Kigaidi

    Kumbuka hata shetani anayo yafanya anasema ni haki na kwamba amedhulumiwa na Mungu isije ukawa unatafuta haki na Shetani ndugu
  10. Kifwambala

    Ukiwa na Fikra huru, utagundua kuwa makundi mengine si ya Kigaidi

    Ndo maana ya kuja Yesu kristo ilikua ni kurekebisha sheria zote zenye mapungufu kumbuka umeambiwa usiue na wala usihukumu. Nyinyi bado mnakitumia sana hiki kitabu
  11. Kifwambala

    Hongera RC Makonda kwa hili la madawa ya kulevya

    Hayo madaraka aliyonayo ulimpa wewe?
  12. Kifwambala

    Je, asili ya majini ni ipi?

    Navipi mtume Mud kutumia mijusi ya kichawi yenye sumu?
  13. Kifwambala

    Je, asili ya majini ni ipi?

    Hahaaa hakia Mungu hapa shetani kateka watu kwelikweli haya na hayo majini yalikua yanaishi wapi?
  14. Kifwambala

    Je, asili ya majini ni ipi?

    Uliona wapi mtu kamfukuza malaika wake kama si kumlinda .mnafukiza maudi yanini kama sikulisha majini? Haya swali kama msikitini hakuna majini mbona dada zenu hawashiriki ibaada wakiwa hedhi kama hujui nakueleza au kama mnafichwa leo nitakueleza chakula cha jini ni damu ndo maana dada zenu...
  15. Kifwambala

    Je, asili ya majini ni ipi?

    Hayo mnatutupia nyinyi lakini sisi hatuwi na majini maana sio ndugu zetu mnaoswali nao ndo ndugu zenu.pia hawa wanayapata kupitia njia tofauti kama marashi yakutoka uarabuni,na vitu vingine vya kuiga kama mitindo ya nywele na mavazi lakini wakristo hawana urafiki na majini.
Back
Top Bottom