Recent content by Kifuu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Pigo: Wafanyakazi karibu 200 wa Vodacom walio chini ya ISON BPO wafukuzwa kazi kwa madai ya wizi

    Mbona havisomeki umefuta au Kuna jina lako
  2. K

    JamiiForums Tanzania UDART wafungua kesi mahakamani kuzuia Serikali isilete muwekezaji mwingine kuendesha mwendokasi

    Ni haki yao maana nyie Serikali mnataka kufanya kila kitu siasa acha mburuzwe mahakamani
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kila hakimu aliyepelekewa jalada la rufaa ya kesi ya Sugu, alisema anaudhuru

    Umesahau nukuu zenu katika magazeti na humu Jamii Forum kipindi cha JK kikwete mlikuwa mnamsifu kagame na kusema tunataka Rais mwenyewe viashiria vya dikteta leo mnazungumza mengine, kwanza nyie ndio mmetuletea uchuro.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi inamshikilia Fatma Chikawe kwa kumdhalilisha Mzee Lowassa kuwa ni baba yake mzazi

    Kosa la nani hapo unafikiri au mnyonge hana haki
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wasafiri wamekwama porini kwa siku tatu, wanahitaji msaada wa haraka

    Hii ni yalini maana niliona Habari Kama hii juzi sehemu nilijibu ili tuweze kufikisha taarifa sahihi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Nakumbuka enzi zile ikiwa zamu yako kuchunga unatamani usikutane nae huyu kiumbe ni noma
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bei juu ya viwanja Dar es Salaam tatizo ni umasikini na mawazo yetu

    Weka namba ya simu nikuelekeze sehemu umeme upo na kumechangamka kwa milioni 4
  8. K

    JamiiForums Tanzania Laana imenikumba, nimeshuhuudia wazazi wangu wakifanya tendo la ndoa

    Hii ndio hasara ya kukaa na matoto mpaka yanazeekea nyumbani, ondokeni nyumbani mkapange huko mpaka mnaona zenye mvii za wazazi wenu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

    nimemuona binti amefanana na binamu yangu ngoja niende
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Hiyo ndio tiba pekee hakuna zaidi ya hiyo, ila ujue hata akiwa mkubwa ataendelea huo mchezo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

    Zamani tuliambiwa ukila :ndimu na asali unakufa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wanaoikosoa Serikali kinamna, kwa kutumia vyombo vya habari, kwanini wasitumie cocus yao?

    Ukiona hivyo kwenye cocus wamekosoa imeshindikana, na usifundishe watu nidhamu ya uwoga Sent from my PTM-Z-mini using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom