Mataifa mengine mpaka raha;sijui sisi Tanzania level hii ya utawala bora na utawala huu wa sheria tutaifikia lini

Tanzania haiwezi kupata maendeleo sahihi chini ya CCM Hilo halitawezekana kamwe zitakuwa NI Dana Dana hizi hizi kila wakati.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100 kuwa kamwe hatuwezi pata maendeleo ya kweli chini ya CCM.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom