kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,574
Nimetembe Dar kutafuta viwanja sehem mbali mbali nimegundua kuwa kuna tatizo kubwa na bei ya viwanja kuwa juu kuliko uhalisia wake.
Unapelekwa sehem bado hapajachangamka sana barabara mbovu, hakuna umeme wala maji cha ajabu unaaambiwa kiwanja cha 20*20 milion 15 na kuendelea seriyously?
Ardhi imekua sio kama bidhaa au asset nyingine bali imeonekana ni kama kitu cha kumfanya mtu kuwa tajiri. nimegudua matatizo mawili.
1.Umaskini:huu umepelekea watu kutegemea ardhi kama ni kitu pekee ambacho kinaweza kuwaingizia kipato.
2. Mentality hapa ndo pale wanaamini ardhi ndo kila kitu na mtu akimiliki ardhi ndo kamaliza kila kitu..hapa mtu akiwa na ekari 3 anategemea hiyo hiyo kujenga kununua gari. Hata kazi hataki kufanya.