chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,871
poa Mkuu,...nimekufahamu ningelikushauri utoke nje ya Tanzania uone vipi wanaishi,kma unasikia Elimu bure ujionee mwenyewe nini kinazungumzwa.ukisikia wazee wazee na watoto wanapewa kipaumbele katika nchi uone nini wanakusudia...Hayo uliyotaja sio kila nchi wanayo hata Marekani na China hawana baadhi ya hayo mambo. Hata kwetu elimu ni bure na matibabu kwa wazee pia. Ila sikatai kuna vitu vingi wametuzidi ila hatustahili kupitwa na manchi yenye vita. Tusiunge mkono kila kitu kisa kimeletwa na wazungu
Tanzania hajafikia wala haitofikia kuzifikia hizo sifa nilizozitaja,Tanzania tunaishi miaka mia tano (500) nyuma ukilinganisha na hizo nchi za scandaniva,...Ndio maana nchi kama Tanzania inaitwa dunia ya tatu,kwasasa kwavile Tanzania inashika mkia katika nchi zenye raia walio na furaha,naona Tanzania iko katika kiwango cha dunia ya nne