Recent content by Kifurukutu

  1. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Magari Showroom (Kausha Damu): Serikali Iingilie Kati, Hii Siyo Fursa Ni Unyonyaji wa Wazi

    Amani kwenu wakuu, Ukiingia Mtandao wa Instagram hivi sasa, kurasa za wauzaji wa magari zimefurika matangazo ya mikopo yenye ushawishi mkubwa. Makampuni maarufu ya kuuza na kuagiza magari Dar es Salaam yote yanatangaza fursa za kutoa magari kwa mkopo. Kijuujuu inaonekana ni msaada kwa vijana...
  2. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Toyota Passo inauzwa

    Milion 4.5 iko mfuko wa shati
  3. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka nimsaidie kazi za ndani

    Osha vyombo hivyo
  4. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Hivi biashara ya laundry dryer cleaning inalipa kweli kwa dar na Dodoma

    Utakuwa unaosha kwa mikono?
  5. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka nimsaidie kazi za ndani

    Hao bado watoto Mwanaume aliyekomaa sio wa kulalama na petty issues kama hizo badala ya kuchukua hatua
  6. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka nimsaidie kazi za ndani

    Tunaongelea Mume na MKE We unawaza kufirwa na mwanaume mwenzio...Laaaana!
  7. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka nimsaidie kazi za ndani

    Dogo pole kwa kuolewa
  8. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka nimsaidie kazi za ndani

    Pinga ndoa za utotoni
  9. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Hivi biashara ya laundry dryer cleaning inalipa kweli kwa dar na Dodoma

    Unamtaji kiasi gani, nini matarajio yako. Wateja wakuu ni akina nani, washindani wako vipi
  10. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuosha magari ya watu hadi kumiliki car wash yake mwenyewe

    alianzisha wapi na kwa shiling ngapi hapo mwisho ungeiweka mwanzo watu wasome,, wewe ulichangia kwa kiwango gani kukua kwa hiyo car wash
  11. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwanamke alinikataa kabisa baada ya Mimi kijitambulisha kwake ni mwalimu

    Wewe ungekua mwanamke, ungemkubali mwalimu?
  12. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa Nikiota Ndoto Kujusu Nyoka Mara kwa Mara, Naomba Tafsiri na Ushauri

    Humu jf kila mtu anamaisha safi Nyumba, gari na kila kitu ninachotaka napata
  13. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Utamu wa wakubwa!!

    Picha iko wapi tuone
  14. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa Nikiota Ndoto Kujusu Nyoka Mara kwa Mara, Naomba Tafsiri na Ushauri

    Habari wanajamii, Naomba msaada wenu kuhusu jambo ambalo limekuwa likinipa hofu kwa muda naenda mwaka wa pili sasa. Nimekuwa nikiota ndoto zinazojirudia mara kwa mara kuhusu nyoka wa aina tofauti tofauti. Wakati mwingine namwona nyoka mmoja, wakati mwingine huwa ni zaidi ya mmoja, na mazingira...
Back
Top Bottom