Huna chochote ila chuki binafsi.Unajaribu kutaka kupotosha umma kwa kutumia mdomo wako.Tutajie hayo matatizo yaliyopo katika nchi zenye Mahakama ya Kadhi, usitafute umaarufu kwa kutumia dini,kuna siku utajuta!!!
Wewe ni muislam pure kutoka wapi? Mbona hayo maneno yako yanapinga na hiyo dini unajinasibu nayo!!!! Wacha uongo hiyo sio sifa ya muungwana, sasa sijui kama wewe ndie????
aha!! kumbe hiyo ndiyo chuki yenu kwa Wazanzibar,mimi nilikuwa najiuliza kwa nini watanganyika wanawachukia Wazanzibar kumbe UTUMWA,kama sababu ndio hiyo sisi mnatuonea bure,waliokuwa wakiwauza ni machifu wenu,na Zanzibar walikuwa wanapita tu hao watumwa.Someni historia itasaidia.
hayo ya kuzama alishataka baba wenu wa Taifa,Mungu akamzamisha yeye saivi anaozea hozini.sasa subiri na siku yako wewe utazama sijui utaozea wapi,maana Mungu hafundishwi.
Inaonesha ww ni mchochezi na hufai katika jamii,wa kumtetea HR ni watu wa jimbo lake sio ww au umetumwa??Ww ndo umesema mapembe na karafuu,huko bara kuna karafuu na mapembe??unajibiwa unageuza kibao eti Muungano unajifanya Muungano unakuuma saaana huna lolote ww ni mamluki,mueneza chuki,wapemba...
Tanganyika ni koloni la nani?Maana sijaona kiti chake UN,wala hiyo pasipoti unayosema wala hiyo sarafu!!!usiwe mjinga mpaka kupita kiasi,unatuchosha kuandika utumbo nenda kwenye hoja burro!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.