Recent content by kifarangaa

  1. K

    JamiiForums Tanzania CUF wasiposhiriki uchaguzi hakuna haja ya kupoteza pesa

    Mm nilishaacha kupiga kura kitambo na hutoniona
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Wakenya wametushinda nini?

    Tumerogwa na nyerr
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lipumba 'ajirudisha CUF' kiaina

    yeye alikua hamtaki ed ukawa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Lowasa arudi ccm ili apate awe prime minister
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif akataa maamuzi ya ZEC, atoa tamko zito

    ata warudie uchaguzi leo seif anashinda labda wamuibie na mzimu wa mashehe unawatafuna ccm wanatapatapa tu na subiri wawatoe masheh watakiona cha moto.kule kazi tu mpaka amamlaka kamili
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani walaani kinachoendelea Zanzibar

    eti wanadai sababu 1wapo ya kuufuta ni makamishna wa zec kutaka kupigana kwa nini?sababu ya kutaka kupigana haitaji lkn maalim alisema mwanzo huyu jecha hana sifa ya kuwa m/kiti kwani si mwanasheria ila ni qada mkongwe wa ccm alishagombea ubunge ktk ngazi ya kura za maoni. ivi unategemea...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa CCM kwamba Magufuli anaongoza kwa 69.3% unapingana na uhalisia

    ukawa nao watoe maoni yao kwa mgombea wao km atashinda kwa %78 na magufuli%20 tu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania PSPF na mikopo ya elimu

    wakubwa wanaendelea kunyonya mirija ya wanyonge
  9. K

    JamiiForums Tanzania Majimbo 11 Ambayo UKAWA Wasipoteze Fedha Washapita

    majimbo yote 18 ya pemba
  10. K

    JamiiForums Tanzania Majimbo 11 Ambayo UKAWA Wasipoteze Fedha Washapita

    majimbo yote18 ya pemba
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kunani mashuleni sekondari?

    watanzania wamerogwa suluhisho wamtafute aliewaroga ili awatoe urogi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Apa ni mamvi tu!

    Baadhi ya watu wamekuwa wakitoa kashfa mbalimbali kuhusu lowasa,mara fisadi,mgonjwa,tajiri,anamarafiki matajiri nk.yote hayo waseme lkn wananchi wanamkubali na hatudanganyiki ata awe icu cc ni mamvi tu!
  13. K

    JamiiForums Tanzania TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    ata wasemeje cc ni manvi tu!awe mwizi,awe mgonjwa mahuti cc ni el tu!
  14. K

    JamiiForums Tanzania elimu yetu inazidi kuwa kituko

    mwanafunzi amepata GPA 0.3 anaenda kidato cha3 huu si ulofa na upumbavu?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Lugha ya kiingreza katika kufundishia darasani

    tumerogwa na wazungu
Back
Top Bottom