Lipumba 'ajirudisha CUF' kiaina

Lipumba 'ajirudisha CUF' kiaina

Kwa mtu msaliti kama huyu kupokelewa kwenye ofisi za chama alichokiacha njia panda ni ujasiri wa hatari sana !

Hakupokelewa bure kawanunua wale wanawachama kwa pesa zilizosalia baada ya kuchunwa na michepuko mpaka yupo hoi.
 
Lipumba sasa kaamua kuja kivingine karudi kuja kuzuga akivizia Ubunge wa kuteuliwa hata hivyo hakurejea bure bure imebidia awanunue Wanachama ili waweze kukubali arejee kundini.
 
wewe minyoo, unazo mil 5 za faini au unajaza server ya watu tu. lipumba yuko smart mno kweny politics za kiungwana
 
bado ni mwanachama cuf siyo kiongozi. kaongea kama mwanachama
 
CUF wawe makini na msaliti huyo.hafai hata kupewa umesenja ndani ya chama
 
Stupid Prof,sidhani Kama CUF Wanajitambua.Mabarabara Yako Tele,aende Huko Akafanye Uhuni Wake
 
Lipumba leo kazungumza na waandishi wa habari akiwa ofisi za CUF kasema mazungumzo yafanyike Zanzibar ili kupata suluhu na Magufuli kama yupo serious na rushwa aanze na walioiba pesa za Escrow kuwapeleka mahakamani...

..Wanachama wa CUF wamempokea vizuri Lipumba na wengi wamejitokeza.. Binafsi naona hata Lipumba 'hakutegemea' UKAWA wangefanya vizuri kiasi hiki na sasa anarudi 'kufaidika' na faida iliyopatikana<br>ya viti vya Ubunge na halmashauri tele

UKAWA walizoshinda.....Ukitazama uchaguzi ulivyotokea ni kama hata UKAWA hawakuwa ready kwa CCM kuondoka....sidhani kama

kuna hata mipango ya namna ya kuendesha manispaa zilizopatikana hasa za Dar...na hata walipoibiwa kura Mbagala na Kigamboni za ubunge sioni hata 'reaction' inayostahili.... watu wa Dar walipiga kura kuitoa CCM completely...

CCM ,UKAWA na kina Lipumba hawakuona this coming...

==================================

Chanzo:
Mwananchi
Kwenye kumbukumbu zangu Lipumba hakuondoka CUF bali alijuvua cheo,msiwe wagumu wa kuelewa..
 
Things will never be the same again.
Ukawa wamefanya kila kitu kilicho ndani ya uwezo wao.
Huwezi shindana na mtu mwenye dola na utegemee kushinda.
Labda ulikuwa unamaanisha Ukawa wafanye fujo au waandamane.
 
Ameondoka cuf imepata wabunge 11 bara na inakaribia kushika urais zanzibar,akirud awe mwanachama wa kawaida
 
Things will never be the same again.
Ukawa wamefanya kila kitu kilicho ndani ya uwezo wao.
Huwezi shindana na mtu mwenye dola na utegemee kushinda.
Labda ulikuwa unamaanisha Ukawa wafanye fujo au waandamane.

Upo sahihi,kama siyo figisufigisu za Necccm UKAWA wangechukua nchi.
 
Siasa ndivyo ilivyo,haina rafiki wala adui wa kudumu,kwa kutumia busara ya Dkt Slaa,"bora mwenye mapungufu kidogo kuliko mwenye mapungufu mengi"-Lipumba ana nafuu na nafasi ya kuaminika ndani ya UKAWA kuliko Dkt Slaa.
 
Tumbo halina adabu The Boss

Haha haa mimi kanifurahisha mno na staili zake
siku ya kujiuzulu alivaa suti na alienda hoteli mbali za na ofisi za chama
leo kajirudisha na kavaa nguo zenye alama za chama...
yaani leo chama kimekuwa kitamu....ahh.....
 
Anguko gani hilo kwa jinsi figisu figisu zilizokuwepo masanduku fake ya kura na uchakachuaji wa hali ya juu. Hapo utalaumuje tena wakati mfumo wa democracy kwa nchi za ki Africa unajulikana sio huru na haki. How about Zanzibar ingekua kwa nchi nyingine ningekubaliana na wewe sio kwa Tanzania tunapga kura kutimiza wajibu

Uchaguzi ungekuwa sio wa kihuni wangeaibika asubuhi mapema
na wanajua
 
Lipumba leo kazungumza na waandishi wa habari akiwa ofisi za CUF kasema mazungumzo yafanyike Zanzibar ili kupata suluhu na Magufuli kama yupo serious na rushwa aanze na walioiba pesa za Escrow kuwapeleka mahakamani...

..Wanachama wa CUF wamempokea vizuri Lipumba na wengi wamejitokeza.. Binafsi naona hata Lipumba 'hakutegemea' UKAWA wangefanya vizuri kiasi hiki na sasa anarudi 'kufaidika' na faida iliyopatikana<br>ya viti vya Ubunge na halmashauri tele

UKAWA walizoshinda.....Ukitazama uchaguzi ulivyotokea ni kama hata UKAWA hawakuwa ready kwa CCM kuondoka....sidhani kama

kuna hata mipango ya namna ya kuendesha manispaa zilizopatikana hasa za Dar...na hata walipoibiwa kura Mbagala na Kigamboni za ubunge sioni hata 'reaction' inayostahili.... watu wa Dar walipiga kura kuitoa CCM completely...

CCM ,UKAWA na kina Lipumba hawakuona this coming...

==================================

Chanzo:
Mwananchi
Ni kweli na leo ametangaza eti kurudi kabisa anashangaza huyu profesa
 
wasaliti kama hawa hawafai kabisa heri abaki hukohuko alikokimbilia.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom