PSPF na mikopo ya elimu

PSPF na mikopo ya elimu

Hii mifuko ya hifadhi ya jamii haina msaada kabisa kwa wanachama wake
 
Dah kumbe pspf n noumae dah nilitamani kwenda ila dah 6enda tena!
 
Mm wanilipie tu ila kunidanganya ni 7. 5% kumbe ni 18%riba wameniboa vbaya.
 
Mwaka 2006 nilikuwa na cash 2.6M rafiki yangu akanishauri kununua HISA Za kampuni Fulani, kwa vile sikuwa na uelewa wa Mambo ya HISA nikamkatalia, nikaenda kununua Shamba heka tatu Chanika.

Mwaka huu nimeplan kwenda Chuo na nimesha Apply tayar. Nlichokifanya, nimeuza hapo sehem Mbili 20X25 kwa 7.2M@. Hivyo ninauhakika wa kusoma bila hofu ya Mkopo hadi kugraduate panapo Majaaliwa.

Najiuliza what if ningekimbilia kununua zile HISA, je ningeweza kunufaikA kama nlivyonufaika hivi sasa!??
 
Sikujua kama jamaa wana complicate maisha kiasi hicho,PSPF ndo mfuko wangu huo,ila nashukuru kadhia ya ada iliisha,kwa mlolongo wao huo nisingeweza kuupata mkopo
 
Hii mifuko ya hifadhi ya jamii haina msaada kabisa kwa wanachama wake

Belo upo sahihi,nahis kuna watu si wanachama ila wananufaika sana na hii mifuko,,,,wanachama wamegeuka ombaomba.......
 
Last edited by a moderator:
Haha hv kwanini? tangu nijaze fomu zao wakati wa ajira sijawahi kanyaga kabisa kwenye ofisi zao mwaka wa tisa huu!!!
Jamaa ni waongo na wababaishaji, wanatangaza mafao ambayo hawana, nawachukia sana na nnajuta kuwafahamu
 
Jamaa ni waongo na wababaishaji, wanatangaza mafao ambayo hawana, nawachukia sana na nnajuta kuwafahamu

umenikumbusha july rafiki yangu ndo anaingia 2nd year si akajaza form apate ada ya hyo miaka 2 bwana weeee, kamaliza cjui mahakamani kote anafika halmashauri anaambiwa hao pspf hatuna mkataba nao juu yakukopesha wafanyakazi wetu na hawajatueleza wanawakataje?? karudi tena kule pspf yalivyo yanamjibu ni kweli ndo tunakamilisha makubaliano na tamisemi!!!! kaiacha hyo form walimwambia arudi after 2 days alikanyaga hapo agust nzima

nkamwambia acha kujipa presure nenda crdb chap hzo mil 2.5 utapata pressure bure ukisubiria pspf.
kafwatilua week tu crdb wameshampiga mkwanja wake, ndo hayo magudegude ndo yanampigia juzi eti njooo form ikasainiwe khaaaa
 
Hilo shirika ni la kisengerema sanaa, yani natamani muujiza utokee nijichomoe huko
 
VIPi LAPF? tupeni uzoefu wa mafao yao na mikopo kwa ujumla vipi wapi nafuu kati ya pspf na lapf? Kabla sijafanya maamuzi na kujutia baadae.

Asanteni in advance

mwaj waukweli Evelyn Salt na wengine
 
Last edited by a moderator:
VIPi LAPF? tupeni uzoefu wa mafao yao na mikopo kwa ujumla vipi wapi nafuu kati ya pspf na lapf? Kabla sijafanya maamuzi na kujutia baadae.

Asanteni in advance

mwaj waukweli Evelyn Salt na wengine

LAPF wa ukweli sanaaaa ukiomba hela zako jumatatu, ijumaa ishawekwa tayari
i wish ningejiunga huko ndio bas tena
 
LAPF wa ukweli sanaaaa ukiomba hela zako jumatatu, ijumaa ishawekwa tayari
i wish ningejiunga huko ndio bas tena

Okeeee
Pspf wanamkopo wa kuanzia maisha baada ya miezi kama sita baada ya kujiunga nao vipi na hawa lapf wanao kweli?
 
Tunavumilia kua watanzania kwa kweli! Nlikua nawaza kwenda PSPF kumbe nako hakufai!! Wacha tukomae na VICOBA
Aliyetuharibia MIFUKO YA JAMII ANAFAHAMIKA, ameruhusu mifuko iwe mingi kama biashara ya mashindano, sasa hii ndiyo hasara ya MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII kuwa mingi na kushindana kama FREMU ZA KARIAKOO.

Bora sasahivi JPM anarudisha mfumo kuwa usio wakinyonyaji.

HALAFU HII TABIA IPO SANA, YA MABENKI KUDANGANYA WATEJA RIBA KUWA NI NDOGO WAKATI KIUHALISIA MAHESABU YANAONYESHA RIBA NI KUBWA ZAIDI YA INAYOSEMWA NA MABENKI.

Mabenki yanafanya sana hii kitu, Yaani ukienda benki afisa mikopo anakwambia Riba ni 7% mfano, lakini ukimuuliza kiasi utakachokatwa kila mwezi akakwambia, utagundua makato anayokwambia ni ya mkopo wa riba ya 18% , SERIKALI YA JPM tunaomba kama mnatusoma humu MUINGILIE KATI. Hizi marketing campaign za mikopo ya mabenki haziko FAIR kabisa.

Unajua kama unamdanganya mteja RIBA ya mkopo kuwa ni ndogo halafu kiuhalisia ni kubwa UNAUHUJUMU uchumi kwa sababu mteja huyu anachukua mkopo wenye masharti magumu tofauti na anavyofikiri. Matokeo yake ni kitu inaitwa NON PERFORMING LOANS.
 
Back
Top Bottom