Recent content by kiemolo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Lowassa unaitesa CCM na UKAWA

    unaumia ww na sio taifa, usiisemee mioyo yetu kama tumekutuma vile. ameshindwa aendelee kukaa kimya hivyo hivyo maana hana cha kusrma.
  2. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    John Pombe Magufuli
  3. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumuacha kwa matusi na kejeli, amerudi anadai anampenda bado

    wewe huyo binti siyo mlokole coz walokole hawaishi pamoja wa kufanya mapenzi kabla ya ndoa so usimlinganishe huyo na ulokole
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nataka nimkatae kwa sababu anashabikia vitu nisivyovipenda

    tatizo lako hujakomaa kisiasa tulia ujifunze siasa zikoje ndo maana hakuna ubaguzi tz
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dada amwaga matusi hadharani

    ni kweli kabisa hawapendi maana nilimtania wife tukiwa chumban akamaindi sana hata....... haikutekelezwa hahahahaaaaaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni viumbe wabinafsi sana na wasiokuwa na utu

    miss chaga uliekutana nae akakutenda ni huyo tu sio wote tupo wanaume tunaojua umuhimu wa familia so do not conclude at all
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba, nimeatach na picha yangu

    Kwani shule zimefungwa?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Usithubutu kuruhusu wafuatao kuwa karibu na mkeo, hatari

    Usiniharibie bhana wewe
  9. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume mimi namwacha

    Kweli Concordia huyu ni mchepukaji anaogopa jamaa akipekua sana atajua
  10. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume mimi namwacha

    Zinduna we hutaki kumsifia, kumdekeza na asikuonee wivu unataka amuonee wivu nani inaonyesha huko vizuri ww
  11. K

    JamiiForums Tanzania The Challenge Of Finding Mr. Right

    Hatujaisha tupo sana ila tu badili mtazamo wako utatupata
Back
Top Bottom