MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,070
unataka ujue kama ni bamia au mguu wa mtoto?
inaweza ikawa chaki ya mwisho
unataka ujue kama ni bamia au mguu wa mtoto?
Tobaaa...
ndio manake ili tuone kama ni kizibo cha biki au kishungi cha kiwi
Kwani shule zimefungwa?Mimi Ni Kijana Wa Kiume,nina Miaka 27,elim yang ni diploma,mim ni mkristo,ninatafuta mchumba wa kike,sura ya kawaida,mkristo,elim yoyote ,umri asizid miaka 26,tuwasiliane kupitia 0763175935
M-pm akupe hanaga shda.
picha mbona haionekani?[SIZE=3picha umeisahau?]Mimi Ni Kijana Wa Kiume,nina Miaka 27,elimu yangu ni Diploma, mimi ni mkristo, ninatafuta mchumba wa kike, sura ya kawaida, mkristo, elimuyoyote, umri asizidi miaka 26, tuwasiliane kupitia 0763175935
[/SIZE]
Njo kwangu
Weka na cv na picha utume
Uzuri ndo mpango,tabia tutaelekezana.Humu utaishia kupata manungayembe,,wanaweke wa humu jf wameshindikana kijana...!