Recent content by kiduvi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

    Hauko serious hata kidogo, kwani wewe ukitaka kumuacha hadi yeye akubali? Sasa ngoja atakapokuacha hatakusubiria ukubali utalia na atakuwa ameshakuacha. Wewe ni mwanaume fanya maamuzi wala usisubiri ushauri kwenye mapenzi hakunaga ushauri ni utashi wako ndo utakufanya ujue cha kufanya. Sent...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

    Kweli nilisubiri dakika 90 mambo yalikuwa si mambo.
  3. K

    JamiiForums Tanzania CCM imekuwa mzigo kwa Viongozi wake

    Basi hata wakiite chama cha maendeleo (ccm) mapinduzi yalishaisha siku nyingi sahv watu wanataka maendeleo sio mapinduzi tena. Cjuhi wanataka kumpindua nani tena
  4. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawa moja
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Arusha atangaza kumvaa Lema

    Hapa arusha ccm haichaguliki, waache kujichosha, hapa ni chadema tu hapa wakiweka jiwe tutalichagua kuliko ccm, hv ccm hawajajifunza ht uchaguzi wa serikali za mitaa na mwaka ndo wa mwisho kuongoza halmashauri ya jiji hili... Ole wao wañg'ang'añize ushindi patachimbika
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa graduates wanaofikiria kwenda JKT

    Aisee asante kwa ushauri maana ñilikuwa na mpango huo lkn nmesitisha ngoja nisiklizie ajira àjira ya walimu na bachelor yngu nikapambane mtaani kuiko kuvaa kaptula
  7. K

    JamiiForums Tanzania Andrew Chenge: Rafiki wa Lowassa aliyepewa dola 1m za Escrow

    Mlishamuita EL Dr. Kuweni na mapenzi na nchi yenu na sio na wanasiasa. EL akisemwa watu mnaruka utafikr umeguswa wapi cjuh. Mnatia aibu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania How the new Cyber Law will land you in Jail...

    Hii ndiyo sheria aliyokuwa anapigia kelele Tundu Lissu wakamwambia anatetea picha za ngono au ni nyingne.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kigoma Mjini Wamkana Zitto Kabwe na Kigoma Kaskazini Serukamba amekataliwa

    Eti kila jimbo linamtaka, basi akagombee urais maana nchi nzima itakuwa inamtaka, kwa upande wangu sitaki hata kumsikia.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kahama, Kawe, Ubungo na Segerea wananiomba nigombee ubunge

    Kwani katiba hairuhusu akagombee majimbo yote kwa wakati mmoja
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hivi wabunge wa CCM wanapokuwa Bungeni, hujadili hoja kwa kuelewa kinachojadiliwa au hupitisha tu?

    Mm siwalaumu maana kwa yale wanayoyafanya bungeni ni reference na wapinzani wakiyatumia vizur wakat wa kampeni kuwakumbusha wananchi madudu wanayoyafanya ss hv, bunge litakalofuata baada ya uchaguzi halitakuwa na wapuuzi wa ccm. Yaani huwa wananikera natamani kukutana na mmoja mmoja wao nishoot...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Zijue tofauti kati ya CCM na CHADEMA

    Nilipoona title ya thread hii nikadhani imeandikwa na mtu mwenye fikra huru, nilipoisoma nakukuta maneno km "ccm yangu" sikutaka kuendelea maana nmegundua uko biased na stress za anguko lenu la oktober.. Msijali jiandaeni kisaikolojia kuwa chama cha upinzani msifikrie kuwa kikundi cha kigaidi.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Fikra duni za wanaCHADEMA

    Feelings are not thoughts, you just felt so. You need to take a little time and think.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Mbunge Selasini na Mwenezi wa CHADEMA Wilaya ya Rombo ajiunga na CCM

    Wanarombo wangekuwe wameichoka chadema kiasi hcho wasingewachagua wenyeviti wa s/mitaa kupitia chama hcho, kapewa shs ngapi huyo? Ccm bwana mnatumia nguvu nyiiingii akili kidogoo,,
  15. K

    JamiiForums Tanzania Poll: ACT-Tanzania VS CHADEMA. Nani zaidi?

    Mm nilifkri unataka kulinganisha ACT na TLP, ndo kidogo utakuwa fair maana vyote vya wasaliti.
Back
Top Bottom