Fikra duni za wanaCHADEMA

Fikra duni za wanaCHADEMA

Hebu mleta mada nenda we na wasaliti wenzako mkapambane na Limbu kisutu, CHADEMA sio hadhi yako, mara mje kulia humu ooh CHADEMA wamesusia mualiko wa wasaliti, yani hata hamueleweki nyie wajamaa.
 
Pumba at its Best......!!!!!

Mwehu aliyewehuka, ni kichaa zaidi ya Mwehu original..!!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Ni kweli sio wana chadema tu asilmia kubwa wapenda mabadiliko wanashabikia sio waelewa wa siasa
 
Kiongozi muwazi na msema kweli asie na unafki kamwe hawezi kudumu chadema hata miezi mitatu.
 
Kwa mtazamo wa nje unaweza kusema ni watu walio wa kweli,open minded na wenye muamko.ki uhalisia wanachadema wamekua washabiki sana na wapenzi kupitiliza wa siasa za chama chao mpaka wanashindwa kuuona ukweli.
1. Siku zote wanaamini chama chao ni safi sana hakina kasoro.

2.kila linalosemwa na chama chao wanaamini ni kweli.hawana muda wa kufatilia na kuchanganua huo ukweli wanaoambiwa.

3.wamempa Tindu Lissu haki ya kufikiria kwa niaba yao.chochote asemacho Lissu wanachadema wanachukua kama kilivo hawana muda wa kuhoji waka kutafakari.

4.mtu yoyote ambao unapinga na kuhoji sera na mwenendo wao basi wanakuona ni msaliti na utaitwa majina yote na kashfa kibao.

5. Ni wanasiasa wazuri majukwaani na kwenye mitandao ya jamii ila kwenye utendaji ni kama makobe vile.

6.kwao siasa ni vita,uadui na chuki ndo maana wakimuona mchungaji mwesigwa ka post picha fb yupo na lowasa hyo n nongwa,ZZK kua karibu na JK au mkono kwao ni usaliti.wanahubiri amani uku wakiratibu siasa za chuki na uadui.

To b honest nahitaji mabadiliko katika uongozi wa nchi hii,tunahitaji serikali mpya ila sioni tofauti kati ya CCM na CHADEMA wote ni wanafiki na wachumia tumbo.

Vua fikra yako uliyoivisha gwanda,vaa fikra huru,fanya maamuzi sahihi kwa mustakabalibwa tanzania ya leo na kizazi kijacho.

Wanachadema you are a prisoners of your own prison,being held in prison of your own creation.

Fikra duni za Hameez
 
Hii ndio siasa na popote duniani huwa yanasemwa na kufanywa mengi lakini anayeibukia mshindi anabakia kuwa mshindi. Panda shuka, lia au ucheke maisha lazima yasonge mbele.

Toa kwanza boriti jichoni mwako kabla ya kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio!
 
Ila nataka wana chadema mnieleweshe vizuri kuhusu zito usaliti wake katika chama maana mpaka sasa nasikia usaliti usaliti ili na sisi wengine tujue usaliti alio ufanya kwenye cdm
 
Tatizo la Alliance of CCM and Traitors, ni kukosa hoja, ni kukosa fikra a kubaki na mwangwi wa CHADEMA vichwani mwenu, hakuna kitu ambacho mnakiwaza kwa ajili ya kukuza demokrasia ndani ya chama lenu la wasaliti zaidi ya kufikiria CHADEMA, siku zote, na kukashifu, eti Capito anasema Slaa kashindwa na CUF, kwani wakati Nyerere analeta uhuru wa Tanganyika Ofisi za Tanu zilikuwa wapi?

Hivi kati ya CUF na CHADEMA walioanza kupata Ruzuku kubwa ni wapi? na ruzuku ya sasa inatofautiana kiasi gani? ONCE A TRAITOR.......
 
Magamba nao kila kukicha CHADEMA kwani hawana la kuzungumzia cwaende ACT jamani kila kukicha CHADEMA
 
chadema kiko makini zaidi kwa kufuata sheria kanuni na katiba ya chama ila kwa kuna chama na wanachama wake wameshazoea cha kunyonga ndio maana sheria kwao ni kama uonevu tu
 
hichi kibonzo cha ccm ila kimepakwa rang nyeupe na nyekundu
 
Kwa mtazamo wa nje unaweza kusema ni watu walio wa kweli,open minded na wenye muamko.ki uhalisia wanachadema wamekua washabiki sana na wapenzi kupitiliza wa siasa za chama chao mpaka wanashindwa kuuona ukweli.
1. Siku zote wanaamini chama chao ni safi sana hakina kasoro.

2.kila linalosemwa na chama chao wanaamini ni kweli.hawana muda wa kufatilia na kuchanganua huo ukweli wanaoambiwa.

3.wamempa Tindu Lissu haki ya kufikiria kwa niaba yao.chochote asemacho Lissu wanachadema wanachukua kama kilivo hawana muda wa kuhoji waka kutafakari.

4.mtu yoyote ambao unapinga na kuhoji sera na mwenendo wao basi wanakuona ni msaliti na utaitwa majina yote na kashfa kibao.

5. Ni wanasiasa wazuri majukwaani na kwenye mitandao ya jamii ila kwenye utendaji ni kama makobe vile.

6.kwao siasa ni vita,uadui na chuki ndo maana wakimuona mchungaji mwesigwa ka post picha fb yupo na lowasa hyo n nongwa,ZZK kua karibu na JK au mkono kwao ni usaliti.wanahubiri amani uku wakiratibu siasa za chuki na uadui.

To b honest nahitaji mabadiliko katika uongozi wa nchi hii,tunahitaji serikali mpya ila sioni tofauti kati ya CCM na CHADEMA wote ni wanafiki na wachumia tumbo.

Vua fikra yako uliyoivisha gwanda,vaa fikra huru,fanya maamuzi sahihi kwa mustakabalibwa tanzania ya leo na kizazi kijacho.

Wanachadema you are a prisoners of your own prison,being held in prison of your own creation.

Join Date : 8th March 2011
Posts : 15
Rep Power : 515
Likes Received 14
Likes Given 0

Your published particulars above speak volumes about you; no words can explain your status better than these stats!!! Bs

Bado mchanga; Ukikua utaelewa.
 
Una mawazo ya kifedhuri lazima unageuzwa na mwiguluneti
 
MTK huna hoja,uwezo wako wa kufikiria mdogo sana...pole sana ila nakuombea siku moja upeo wako ufunguke
 
Feelings are not thoughts, you just felt so. You need to take a little time and think.
 
Utakuwa umetumwa kwa hisani ya watu wa Iran. Ayatollah atawaamrisha sana.
 
Muheshimiwa Zitto alituassa tusizungumzie huku! tutizame mbele yaliyo pita si nduele. Tujenge chama chetu kipya katika misingi ya demokrasia ya kweli!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom