Andrew Chenge: Rafiki wa Lowassa aliyepewa dola 1m za Escrow

Andrew Chenge: Rafiki wa Lowassa aliyepewa dola 1m za Escrow

kumusoma

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
598
Reaction score
926
Nyangeta Marwa-20:06 Today-

Aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali Andrew Chenge alipewa dola milioni 1 za ESCROW sawa na bilioni 2 kasoro za kitanzania imefahamika.-

Chenge ambae alikua mwanasheria mkuu wa serikali wakati mkataba wa IPTL unasainiwa miaka ya 1990 amekiri kupokea kiasi hicho cha pesa kutoka kwa mwanahisa wa IPTL Rugemalila ambae alikua na hisa 30%. Chenge ambae ni mbunge wa Bariadi amekiri kupokea pesa hizo akidai kuwa ni malipo ya kazi ya ushauri aliyoifanya kwa Rugemalila.

Hata hivyo hakuna ushahidi wa kuwepo kwa mkataba wowote baina ya mwanahisa huyo na Chenge. Mwanasheria aliyekuwa anaishauri na kuiwakilisha IPTL kwa ujumla akiwemo mwanahisa Rugemalila ni Dr. Ringo Tenga ambae alilipwa pesa zake.-

Chenge ambae ni mtu wa karibu sana na waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa ndiye mtu anayetajwa kuwa chaguo la nafasi ya waziri mkuu ikiwa Lowassa atakua Rais wa Tanzania. Hii ni kutokana na urafiki na mchango mkubwa wa mali na maarifa anaoutoa Chenge katika kusaidia harakati za Lowassa.-

Andrew Chenge ndiye mwalimu wa mwanasheria mkuu aliyejiuzuru Jaji Frederick Werema. Wakati Chenge akiwa Mwanasheria mkuu wa Serikali, Jaji Werema alikua afisa wa sheria wa serikali "State Attorney".

Haijajulikana kama malipo hayo ni ya Chenge mwenyewe au ni nani aliye nyuma ya Andrew Chenge. Aidha Haijajulikana kama Chenge hakuwa mchoraji mkuu wa namna gani uporaji huu ufanyike ikizingatia kuwa kashfa nyingi zilizotokea miaka ya karibuni zilitokea yeye akiwa mwanasheria mkuu wa serikali. Hizi ni kama ununuzi wa Rada na Buzwagi.
 
Wezi huwa marafiki kama watu wema walivyo, hao wote ni mafisadi wakubwa na tuwaogope kama ebola
 
haya mambo yana mwisho wake,na revolution hii ya mafisadi itafanywa na kundi kubwa hili la mtaani,tunaowapa majina mabaya kila siku,wahuni,machinga etc,sio wasomi,au vinginevyo.
 
Ww kweli useless....!!!

Umekosa njia ya kumchafua EL....till u linked him with Chenge...!!!? EL will reign soon, huo upuuzi wako kafie hukoooo....!!!

Ur too primitive and a witch, so you want to entrust people once EL will be elected Chenge will be appointed Tz PM...!!?
 
Matusi yote hayo ya nini? Haya ni matokeo ya kuwekeza matumaini makubwa kwa wagombea ili kuganga njaa zenu. Kila mtu mgombea wake akiguswa basi anapaniki.
Zipo hoja kibao za kumtetea Lowassa ukiamua kutulia.
 
Mr President must be gay. How can a gentleman dare to *** his own ace? He is arrogant with shallow mind. If he loves Lowasa, should go and marry him.
 
Leo mumeishiwa na hoja. Oh rafiki ya Lowassa _Yesu hakubaguwa MTU wote walikuwa Wa kwake. Nawasihi mtulie 2015 ndiyo hii hapa. Hakuna nyingine isipokuwa hii. Mbivu na mbichi itajulikana.
 
mafisadi uchwara: sio wakuwapeleka ikulu hata kidogo
 
Ww kweli maku, useless....!!!

Umekosa njia ya kumchafua EL....till u linked him with Chenge...!!!? EL will reign soon, huo upuuzi wako kafie hukoooo....!!!

Ur too primitive and a witch, so you want to entrust people once EL will be elected Chenge will be appointed Tz PM...!!? fck u....!!!

Acha ungese.....tundu la kutolea uchafu wa mwili wako ww...!!? Nosense ...

Mr. President, kweli unampenda EL! inatosha! usijeukajinyonga kwa mawazo tofauti ya Watanzania.
 
Na mtasema mengi mwaka huu lakini hakuna raisi tofauti na Dr Edward lowassa
 
Mlishamuita EL Dr.
Kuweni na mapenzi na nchi yenu na sio na wanasiasa. EL akisemwa watu mnaruka utafikr umeguswa wapi cjuh. Mnatia aibu.
 
Japo mimi ni team Lowassa lakini nyoka makengeza kazidi jamani kwa wizi.
 
Duh! Kutakuwa kuna mahali EL anamkuna Mr. President mpaka anasikia utamu
Sikujua kumbe mwanaume kukunwa raha mpaka unalipuka hovyo! Tulia kijana. Huyo mwizi urais atakuwa akiusikia redioni tu kama mimi
 
Mr President must be gay. How can a gentleman dare to *** his own ace? He is arrogant with shallow mind. If he loves Lowasa, should go and marry him.

Ha ha ha nimeshangaa sana!
 
KUNDI LA LOWASSA LAHUSISHWA NA WIZI WA TEGETA ESCROW ACCOUNT.

Wakati watanzania wameaminishwa kuwa hela ya Tegeta Escrow Account ni za serikali,wajanja wachache wachota mabilioni ya shilingi za kitanzania kiulaini.

Taarifa zilizovuja kutoka vyanzo vya uhakika vinaelezea kuwa uhusiano wa Singh na washirika wa Lowassa ulianza wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa nchi wa nchi jirani ambayo ni mwanachama wa EAC.

Baada ya uchaguzi huo kumalizika na kundi hilo kushindwa walihamia Tanzania ambapo mpango mahususi wa wizi wa hela halali za Benki moja iliyopo Far East Asia ulifanywa.

Mchezo huu ulichezwa kwa umakini wa hali ya juu sana ambapo nyaraka za kughushi ziliandaliwa na kundi hili ili kuhalalisha wizi huu uliowapa faida ya mabilioni ya shilingi za kitanzania.

Benki moja nchini ilitumika kupitisha hela hizo,Meneja wa benki hiyo na baadhi ya wafanyakazi wengine wenye uhusiano wa karibu sana na Lowassa wameshafukuzwa kazi.Meneja wa Benki hii ni raia wa nchi jirani mwanachama wa EAC na yupo katika timu ya kampeni ya Lowassa.Meneja huyu ndio aliruhusu hela zitolewe taslimu na kwa kiasi kikubwa sana.

Baada ya kuona wao wameshachafuka,Lowassa na mshirika wake mkubwa katika biashara mwenye asili ya kiasia,walimkabidhi mfanyabiashara mmoja wa kiasia kazi ya kuwa na mtuhumiwa huyo.

Kazi kubwa waliyoifanya ni pamoja na kuwaaminisha watanzania kupitia vyombo vya habari wanavyovimiliki kuwa fedha zile ni mali ya umma na hivyo kuondoa nafasi ya wananchi kuwasogeza karibu na wizi huu.

Walitengeneza mazingira ya kila hila kuonesha kuwa baadhi ya viongozi waandamizi wa serikalini wameshiriki kuiba na kula fedha hizo.

Hoja iliyowasilishwa bungeni ilikuwa ni wizi wa fedha za umma,lakini mwisho wa mjadala huo ambao ulipamba moto sana,uliishia kutoa adhabu kwa watendaji wa serikali kuwa walikuwa wazembe na waziri mmoja kushitakiwa kwa kusema uongo bungeni jambo ambalo ni tofauti kabisa na hoja ya msingi ilipowasilishwa.
 
Umejijambia jambiani na stori za kutungwa kwa hiyo Gurumo,mbena na mama wa nchi ndo team ya Lowassa?
 
Leo mmeamka na EL kweli mpk raha mnavyompa promo mkidhani mnashusha, muulize JK nani alibariki pesa za escrow
 
Au tumwombee Hosea amwage wahusika kama hamjaomba mapumziko yani aibe lowassa msibyompenda halafu mumtetee pesa sio za umma halafu muwasafishe akina maswi hahahahahah mkitumwa mengine wakatalieni acheni kuwa condoism
 
Back
Top Bottom