Recent content by Kiduman

  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafta umeme wa gari popote walipo

    Ningeweza chukua fursa ya kukusaidia juu ya tatizo la gar yako, lakin nimeshindwa kutokana na mahala unapopatikana ama site ilipo, hivyo ntakushauri kwa maswala ya kiufundi. Kwanza nikujulishe tu kiufundi hakuna uhusiano kati ya music system circuit na circuits zinazozuia gari kutowaka. That...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana ,usifanye hivi gari yako itawaka moto

    W = V×A Nb; W = watts ( load capacity eg, light) V = Volts (source of power eg 12V from battery) A = Ampere (fuse capacity to pass the current in the wire eg, 10A, 20A in the fuse box) While, wire should have specific gauge (ga) to pass the current within eg, 6ga or 4ga. Ukija ktk kesi ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania POPOTE ULIPO HUDUMA IPO

    Hapana boss, good Ideal.
  4. K

    JamiiForums Tanzania POPOTE ULIPO HUDUMA IPO

    Habarini wakuu? Kitaaluma ni automobile engineer, nimekuja kwenu kutatua shida zinazoikabili jamii hususan katika idara ya usafiri, iwe wa binafsi ama wa uma. Mimi ni mtaalamu katika nyanja hiyo ya kulihudumia gari lako popote pale ulipo kwa old model(full mechanical system) na new model(full...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kufanya Overhaul: Je ni sahihi kwa muktadha huu!!?

    Horse pipe ya juu?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kufanya Overhaul: Je ni sahihi kwa muktadha huu!!?

    Yalikua yanavujia sehem gan?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais yuko sahihi kutoongeza mshahara kwa sasa

    Nan kakuambia! Uchumi huo ulisoma pekeyako?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ndugai kumfananisha CAG na 'Mbwa' ni tusi zaidi ya mtu kusema 'Bunge lina udhaifu' katika kuiwajibisha Serikali

    Kumbuka pro Assad sio mwanasiasa yy ni mwanataaluma na kaz anayoifanya ni ya kitaaluma.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai anachanganya sana mambo. Hawezi akajilinganisha na Prof. Assad kabisa

    Unajua kazi ya bunge ama unaongea tu?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde(Kibajaji): Tufanye uchaguzi wa wabunge na madiwani, Rais aendelee yule yule kuokoa gharama

    Kila MTU anahaki ya kugombea hyo nafasi
  11. K

    JamiiForums Tanzania MSAADA: CPA kwa Accountant

    Sio advanced diploma, hiyo ni higher diploma ambayo ni NTA LEVEL 7 iii, yaan mwaka wa tatu ambako mwakav wa 4 ndiyo level 8 sasa na degree.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya bei ya vyakula kipindi cha Kikwete na sasa Magufuli. Kupungua huku kwa bei ya chakula Rais Magufuli anahitaji hongera

    Pia ikumbukwe tangu alivyoingia madarakan hakuna ajira yoyte aliyotangaza zaid ya kufukuza watumishi, misimu minne ya wanachuo tangu wamalize chuo kwa kada zote bila ya ajira na kila mwaka unemployment rate inazidi kupanda. Je, unavyofikili kupungua kwa bei ya vyakura bila ya watu kua na ajira...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linambeba DED wa Itigi kwa maagizo na manufaa ya nani?

    Mimi nilifutalia huu mkasa ni kwel waliondan ya kanisa kwa maaana ndio mashuhuda akiwemo mzazi wa marehem wanadai kwamba DED ndio alikua shooter. Sasa cjui viongoz wapo juu ya sheria!! Ushahid upo kanisani pale pale
  14. K

    JamiiForums Tanzania Lissu muongo! Rais Magufuli alisema neno kuhusu kushambuliwa kwake

    Weka ushahidi
Back
Top Bottom