Rais yuko sahihi kutoongeza mshahara kwa sasa

Michosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
662
Reaction score
651
Binafsi niseme kuwa mimi ni mtumishi wa umma.
Suala la watumishi kusubiri kila mwaka wapandishwe mshahara, imekuwa hoja ya kila mei mosi.

Binafsi nimevaa uhusika wa Rais na kuona hata Km ndo ningekuwa mm nisingeongeza mshahahara eti kwa msukumo wa watu wanasema nini.

Miradi ya sasa ya Vitega uchumi inayoendelea, ndilo suluhisho la maslahi madogo kwa wafanyakazi..
Uzalishaji ukianza, Serikali itakuwa na uwezo Mkubwa wa kupandisha mishahara pasipo kuwaza mishahara itapatakana vipi na wapi.

Kwa sasa km angeongeza, kweli ingekuwa mzigo mzito Kwan uzalishaji uko chini. Huwezi kulipa mishahara watumishi Kwa kukopa eti kuwafurahisha wafanyakazi... Hyo siyo sawa.

##Hongera mheshimiwa Rais John P. Magufuli kwa maamizi ya hekima na uzalendo.
Wasioelewa kazi yao ni kuponda tu.
 
Hebu toa upuuzi wako wewe B7! Unaziona gharama za maisha zinavyopanda kwa kasi au umeamua tu kuja kuonyesha ujuha wako hadharani. Hakuna mahali popote pale duniani ambapo uchumi unakua halafu wafanyakazi wa Serikali hawaongezewi mishahara kwa miaka minne na badala yake pesa chungu nzima kutumika kwa yasiyo na tija kwa Taifa.
 
Pumzi imekata hio miradi ni kichaka tu,kwani miradi ndo imeanza Leo? Awamu zote zilikuwa Na miradi Na stahiki za Watumishi walipata ikiwemo nyongeza za mishahara hadi wafanyakazi hewa nao wakaongezewa.Hio miradi itakamilika lini hali mingine inasitishwa.
 
Ungevaa uhusika Km wewe kiongozi au mwajiri na ukawa hata kidogo na kaelimu ka nadharia tu kuhusu uchumi... Usingetumia mihuko kujibu hoja hyo.
 
Ndiyo wale wale wa kuokotwa kitaa waje kuandika upuuzi humu. I don’t think you know anything when it comes to salary increases as a motivation to employees.

Kweli weye michosho!!

Ungevaa uhusika Km wewe kiongozi au mwajiri na ukawa hata kidogo na kaelimu ka nadharia tu kuhusu uchumi... Usingetumia mihuko kujibu hoja hyo.
 
Pumzi imekata hio miradi ni kichaka tu,kwani miradi ndo imeanza Leo? Awamu zote zilikuwa Na miradi Na stahiki za Watumishi walipata ikiwemo nyongeza za mishahara hadi wafanyakazi hewa nao wakaongezewa.Hio miradi itakamilika lini hali mingine inasitishwa.
awamu iliyopita, kama una kumbukumbu vizuri, mishahara ilikuwa haieleweki tarehe ya kutoka, na wakati mwingine hadi mwenzi mwingine ndo mnalipwa... Hyo yote ni matatizo ya kufurahisha Wat u, wakati huna uwezo wa kuwalipa hadi ukakope ndo ulipe wafanyakazi,kama ni Biashara ukifikia hiyo hatua, tunasema unaelekea kufilisika.

awamu iliyopita miradi mingi ilikuwa ni miradi ya watu kwa kivuli cha Serikali....ndo maana nchi ilikuwa inaenda kubaya sana kwa wanakumbuka na wanaojua watanielewa.
Miradi ya sasa ni kwa maslahi mapana ya Taifa na si watu wachache.
Amini usiamini baada ya miradi Yotekukamilika, nchi itapiga hatua sana kiuchumi, na kwa Wafanyakazi, yajayo yanafurahisha.... (baada ya dhiki ni faraja)
 
kwahiyo wewe nyumbani kwako ukiwa na project ya kujenga nyumba basi mkeo na watoto watavaa malonya na kula dagaa hadi mradi ukamilike? hayo ni mawazo ya kimasikini na utaishia kujitesa na kujibana maisha yako yote kwakua hizo project zipo tu lakini maisha yana kikomo, chochote unachopanga lazima maisha yaendelee.
 
Mbona tukiangalia madeni awamu iliyopita na sasa, kwa sasa ndio inaongoza kwa fedha za mikopo na madeni inamaana huo uchumi unaokuwa unakulia kwenye mashavu yako?
 
kwahiyo wewe nyumbani kwako ukiwa na project ya kujenga nyumba basi mkeo na watoto watavaa malonya na kula dagaa hadi mradi ukamilike? hayo ni mawazo ya kimasikini na utaishia kujitesa na kujibana maisha yako yote kwakua hizo project zipo tu lakini maisha yana kikomo, chochote unachopanga lazima maisha yaendelee.
Mkuu Umeongea hoja ya Msingi saaana! Upuuzi wa Utawala huu ndiyo hapo wanakosa hoja hiyo! Lakini kwao kila kitu cha Serikai ndiyo maana hawawezi kulihisi hili wanalopambana pambana nalo Watumishi wa Umma waKawaida Kabisa. Wao Kuanzia Kula, Kulala, Kutibiwa na Kutembea vyote viko sponsored na Serikali.
 
Binafsi niseme kuwa mimi ni mtumishi wa umma.
Suala la watumishi kusubiri kila mwaka wapandishwe mshahara, imekuwa hoja ya kila mei mosi.

Binafsi nimevaa uhusika wa Rais na kuona hata Km ndo ningekuwa mm nisingeongeza mshahahara eti kwa msukumo wa watu wanasema nini.

Miradi ya sasa ya Vitega uchumi inayoendelea, ndilo suluhisho la maslahi madogo kwa wafanyakazi..
Uzalishaji ukianza, Serikali itakuwa na uwezo Mkubwa wa kupandisha mishahara pasipo kuwaza mishahara itapatakana vipi na wapi.

Kwa sasa km angeongeza, kweli ingekuwa mzigo mzito Kwan uzalishaji uko chini. Huwezi kulipa mishahara watumishi Kwa kukopa eti kuwafurahisha wafanyakazi... Hyo siyo sawa.

##Hongera mheshimiwa Rais John P. Magufuli kwa maamizi ya hekima na uzalendo.
Wasioelewa kazi yao ni kuponda tu.
Kamongo...!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
awamu iliyopita, kama una kumbukumbu vizuri, mishahara ilikuwa haieleweki tarehe ya kutoka, na wakati mwingine hadi mwenzi mwingine ndo mnalipwa... Hyo yote ni matatizo ya kufurahisha Wat u, wakati huna uwezo wa kuwalipa hadi ukakope ndo ulipe wafanyakazi,kama ni Biashara ukifikia hiyo hatua, tunasema unaelekea kufilisika.

awamu iliyopita miradi mingi ilikuwa ni miradi ya watu kwa kivuli cha Serikali....ndo maana nchi ilikuwa inaenda kubaya sana kwa wanakumbuka na wanaojua watanielewa.
Miradi ya sasa ni kwa maslahi mapana ya Taifa na si watu wachache.
Amini usiamini baada ya miradi Yotekukamilika, nchi itapiga hatua sana kiuchumi, na kwa Wafanyakazi, yajayo yanafurahisha.... (baada ya dhiki ni faraja)
Nan kakuambia!
Uchumi huo ulisoma pekeyako?
 
We ni 0 kabisa mwenzio nilimsikia akisema eti sasa hivi analipa mishahara tarehe 17 yaani eti ni mapema sana kuliko kawaida nikacheeeeeka hivi ukilipa tarehe 1 mpaka tarehe 1 si mwezi uleule ni sawa na ukilipa trh 17 mpaka 17 ni mwezi uleule ukilipa trh 30 mpaka 30 ni mwezi uleule hakuna utofauti so kuwa akili we michosho
 
Binafsi niseme kuwa mimi ni mtumishi wa umma.
Suala la watumishi kusubiri kila mwaka wapandishwe mshahara, imekuwa hoja ya kila mei mosi.

Binafsi nimevaa uhusika wa Rais na kuona hata Km ndo ningekuwa mm nisingeongeza mshahahara eti kwa msukumo wa watu wanasema nini.

Miradi ya sasa ya Vitega uchumi inayoendelea, ndilo suluhisho la maslahi madogo kwa wafanyakazi..
Uzalishaji ukianza, Serikali itakuwa na uwezo Mkubwa wa kupandisha mishahara pasipo kuwaza mishahara itapatakana vipi na wapi.

Kwa sasa km angeongeza, kweli ingekuwa mzigo mzito Kwan uzalishaji uko chini. Huwezi kulipa mishahara watumishi Kwa kukopa eti kuwafurahisha wafanyakazi... Hyo siyo sawa.

##Hongera mheshimiwa Rais John P. Magufuli kwa maamizi ya hekima na uzalendo.
Wasioelewa kazi yao ni kuponda tu.
Hayuko sahihi kwa maana,
Mwenyewe aliweka wazi dhamira yake kuboresha mishahara kwa watumishi.

Kubadilika kwake ni matokeo ya kushindwa vibaya kwa siasa na sera zake zisizo rafiki kwa uchumi.

Na kamwe hatoweza kuboresha maslahi ya watumishi kwa sababu sera zake zimefeli kuinua uchumi wa taifa. He is a failure of his own fate.

Anafaa zaidi akibaki kwenye uwaziri wa miundombinu akisubiria bunge limpangie bajeti. Huko kunamfaa zaidi.
 
Hebu toa upuuzi wako wewe B7! Unaziona gharama za maisha zinavyopanda kwa kasi au umeamua tu kuja kuonyesha ujuha wako hadharani. Hakuna mahali popote pale duniani ambapo uchumi unakua halafu wafanyakazi wa Serikali hawaongezewi mishahara kwa miaka minne na badala yake pesa chungu nzima kutumika kwa yasiyo na tija kwa Taifa.
Naona unatimiliza tuu utamaduni wa jf.
 
Back
Top Bottom