Recent content by kidudukuntu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: RC Gambo adaiwa kupigwa kwenye Mkutano wa CCM Arusha

    Umeanza vizuri maelezo yako ila huko umemalizia kibashite tofautisha kuwaita kwenye vikao vya serikali na vikao vyenu vya kimbeyambeya vya chama
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein

    We kila sehemu unawazaga ukatoliki tu shetani mkubwa weyeee
  3. K

    JamiiForums Tanzania Huduma za Chuo Kikuu Huria ni hovyo, inabidi wabadilike

    Kivipi mkuu hebu toa elimu kwa umma
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wenye hasira wachoma pikipiki mbele ya askari

    Ye haogopi kufa unadhani
  5. K

    JamiiForums Tanzania KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Siyanga, akataa hongo ya Mil 800

    Mill 800 kuitaja ni rahisi siyo mabuyu ya togwa hayo alimshtaki wapi mana hiyo ni kesi ya rushwa verystraight
  6. K

    JamiiForums Tanzania Video: Katibu UVCCM Taifa, Shaka afunguka kuhusu kung’olewa kwa Joketi UVCCM

    Kwahiyo leo ndo umejua staha inahitajikaaa fisimadoa kweli wewe
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais Tunaomba Utusaidie wakazi wa Dodoma Mtumba

    Naona umejipendekeza weee barua yote uliyoandika hapo na unategemea haki yako itapatikana kila sehemu mheshimiwa endelea kuwa na imani naye hapa unapayukia nini si ndo wanafanya maendeleo mnayotaka hayo subirieni mgegedwe
  8. K

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wamvua uanachama Philipo Mwakibinga baada ya kutoa tamko lake dhidi ya maaskofu wa KKKT

    Hivi ccm mnaamini kwenye uhuru wa kutoa mawazo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Athumani Nyamlani ateuliwa kukaimu nafasi ya Wambura TFF

    Shida ni kuwa wambura alikuwa timu malinzi hayo mengine mtajazia wenyewe
  10. K

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo awapigia magoti viongozi wa CHADEMA Jiji la Arusha

    kama mkuu wa mkoa kaona kuwa mambo hayaendi bila ushirikiano kashaona inamuwia vigumu sasa we kila unachoona unawaza interest zako
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama Iringa yatoa dhamana kwa Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi, Abdul Nondo

    Anataka akakazane naye ili athibitishe kuwa anajua kukaaa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kurusha live kesi zinazowahusu wanajeshi hadharani mnatengeneza bomu litakalowalipukia wenyewe

    Athari zake zipi kama mtu ni mwizi asisemwe na ukiona mpaka pale anatangazwa ujue ashafukuzwa kazi na si mwanajeshi tena ni kibuyu fulani anakuwa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kurusha live kesi zinazowahusu wanajeshi hadharani mnatengeneza bomu litakalowalipukia wenyewe

    Hao ni wahalifu kama wahalifu wengine makosa yao hayapelekwi martial court ni makosa ya uhalifu kama mengine tu
  14. K

    JamiiForums Tanzania TABORA: Baba afungwa kwa kumtia mimba bintiye

    Jaribu uone watu wanafungwaje sheria hiyo ipo na inakataza
Back
Top Bottom