TABORA: Baba afungwa kwa kumtia mimba bintiye

TABORA: Baba afungwa kwa kumtia mimba bintiye

Kwenye kila hukumu kuna kipengele cha utetezi kabla ya hukumu. Inavoonekana utetezi wake ulikuwa na uzito mkubwa hata ikamlazimu hakimu kutoa adhabu ndogo kbs. Vinginevo angepewa adhabu kubwa labda kuna wengine wanaomtegemea wangeathirika sana kwa kukosa msaada wake ( pamoja na huyo mwenyemimba)
 
Amini nawaambia,ukisikia baba kafanya mapenzi na binti yake.
Kuna mambo mawili hapo,
kwanza: kama amepewa masharti na mganga kwa ajili ya kupata mali.
Pili:Kama sio masharti ya mganga,basi huyo mtoto(binti) si damu yake huenda amechomekewa.
Huwezi kumtamani mtoto ambaye ni damu yako,hata ungekuwa kichaa.
 
Mambo ya kizungu tupunguze Waafrica,unakuta Baba anamtoto wakike na anachura na mwili wa kikubwa then wanacheza cheza kombolela kwann isitokee ivyo......Turudi kwenye mila na desturi zetu.

N
 
Inatia aibu sana Taifa letu, Mtoto kabakwa, mbakaji jela miaka 4 tu, halafu lile Jingalao kubwa ,(Sizonje) limekataza watoto wa kike waliojifungua kuendelea na Masomo, sasa mtoto hana kosa lolote bali anabaki kutaabika kwa kukosa Elimu. Halafu unakuta mipumbavu mingine inashangilia kwamba yule kaletwa Mungu kutawala hii nchi.
 
Kwa Tanzania mbona hiyo adhabu ni kali sana afadhali ya huyu hakimu amemuhukumu miaka 4 jela. Yule.mwengine aliwasamehe kabsaa wale baba na mwana waliobaka vitoto vya shule karibia 13 na kuwalawiti waliachiwa huru na kupokelewa kishujaa mitaani. Tanzania ya vi wonder. Nchu hii haishi maajbu
 
Kwenye kila hukumu kuna kipengele cha utetezi kabla ya hukumu. Inavoonekana utetezi wake ulikuwa na uzito mkubwa hata ikamlazimu hakimu kutoa adhabu ndogo kbs. Vinginevo angepewa adhabu kubwa labda kuna wengine wanaomtegemea wangeathirika sana kwa kukosa msaada wake ( pamoja na huyo mwenyemimba)
Kuna kitu kinaitwa Minimum Sentences Act, 1972....
Ukiona mtu kabaka kafungwa miaka 30 ujue pale kapata huruma ya mahakama ndo adhabu ndogo ya kubaka iyo....adhabu kubwa inafika maisha jela...

Kama kabaka adhabu ndogo kabisa apo ni 30yrs
 
Japo Mahakama ni chombo huru,adhabu aliyopewa mshtakiwa ni ndogo sana kulingana na uzito wa kosa.Mamlaka zinazohusika nafikiri zinaweza kukata rufaa ili kuona uwezekano wa adhabu kuongezwa ili jamii ijifunze zaidi.
 
Nina wasi wasi sanaaa na jamii ya sasa kama kisaikolojia ipo vizuri...kuna kitu bila hapa hivi vitu vinaongezeka kila kukicha
 
Sipati picha wakati baba MTU anakula papuchi ukute ilikuwa mnato ndo maana alinogewa akamwaga uji ndani!!
 
heeeeeee!! miaka 4 tu kwa kubaka...

ngoja na mimi nikambake Jokate Kidoti najua ntatoka jela 2022 hata uncle bado hajaondoka mahakamani

Jokate jiandae kubakwaaaa maana nakutamani mda mrefu na ninajua nikikuomba papuchi kiustaarabu utaninyima
 
So sada,wapii tunapoelekea na yawezekana tunakaribia kufika kwenye ulimwengu was laana
 
sasa mbona miaka 4..kabaka mwanafunzi+mwanae+under 18= hukumu miaka 4
hakimu kalewa au ""??
Angekuwa hajamtia mimba angekula maisha, kumbuka kamtia mimba.....kunahitajika matunzo...
 
Angekuwa hajamtia mimba angekula maisha, kumbuka kamtia mimba.....kunahitajika matunzo...
bdo haiingii akilini"" hao wngine wanaowapatia mimba wanafunzi mbona huwa wanakula mvua za maisha
 
Back
Top Bottom