Recent content by Kidua

  1. Kidua

    JamiiForums Tanzania Tukiwaendekeza CHADEMA: Bunge Zima Litajaa Wasanii wa Bongo Fleva & Movie!

    hahahahahahaha mkuu we mkali bunge zima litakuwa yoyo yie yiee mambo vp spika..chadema bana hawana sera
  2. Kidua

    JamiiForums Tanzania Injini ya Treni na Meli, ni ipi yenye nguvu zaidi kuliko nyingine?

    kigoma wiki mbili nguvu gani hizoo zinasemwa
  3. Kidua

    JamiiForums Tanzania Kanitumia picha zake, nitafungwa na sheria mpya?

    tuzione kwanza bana
  4. Kidua

    JamiiForums Tanzania Kanitumia picha zake, nitafungwa na sheria mpya?

    heee zitume kw wana jf
  5. Kidua

    JamiiForums Tanzania Zitto Ashauri serikali ya Tanzania kusaidiana na Kenya dhidi Alshabab

    zito hawatakii mema watanzaniaaaa ukawawinde alshabab halafuuuu kitunukieee
  6. Kidua

    JamiiForums Tanzania Natufuta mke mwenye VVU

    atajitokeza tu unayemtaka,jipe moyo
  7. Kidua

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtambua mpenzi wako aliyetoka kwa mwanaume mwingine

    mh kama mwanamme umetoka kwa mwanamke jinsi ya mwanamke kukutambua atakutambuaje weka waziiii
  8. Kidua

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Hatatuangusha Watanzania

    hivi mh slaaa alianza kugombea uraisi mwaka gani wadau
  9. Kidua

    JamiiForums Tanzania Askari wa Kenya akimwokoa Mwanachuo

    huzuni sana kwa walio na huruma
  10. Kidua

    JamiiForums Tanzania Duka la kilimani Pharmacy -Moshi mjini linauza "SUMU"

    dawa bado hizo mwezi wa 4 haujaisha au umeona kuna tarehe 1 hapo
  11. Kidua

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Treni: Morogoro, Dodoma, Singida, Kigoma, Shinyanga na Mwanza

    kwa hiyo leo umezindua chombo kipyaaaa?
  12. Kidua

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Treni: Morogoro, Dodoma, Singida, Kigoma, Shinyanga na Mwanza

    saaaafi sana kwa usafiri huo vibaka miundo mbinu mkomeeeee
  13. Kidua

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimepata mwanamke wa kuoa ila ana mtoto na kanizidi umri

    Ndugu yangu ukioa mke aliyeachwa tena na mtoto juu kwani ni mjaneee amaa?
  14. Kidua

    JamiiForums Tanzania Mke wa kaka (shemeji) ananitaka kimapenzi

    mkemee bana na ujiombee mara tatu kwa siku
  15. Kidua

    JamiiForums Tanzania Muswada wa mahakama ya kadhi waondolewa bungeni

    bora mvutano wa hu mjadala wa mahakama ya kadhi imefutwa,asanten wabunge wote kwa utulivu wa maamzi
Back
Top Bottom