Kanitumia picha zake, nitafungwa na sheria mpya?

Kanitumia picha zake, nitafungwa na sheria mpya?

hebu nitumie nione kama zina vigezo vya kukutia hatiani
 
Lakini wadada wamekuwa na hiyo tabia ya kutuma utupu wao ovyo ovyo tu. Yani uchi wako wewe unautuma tu ovyo? Futseke!!
 
upendo upo had ameamua kuudhihirisha mtandaoni! tutumie na ss bas tumthaminisha shemej yetu
 
Back
Top Bottom