Recent content by kidotimie

  1. kidotimie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume akishakuwa na pesa, huwezi pata mpenzi wa kweli..

    basi si kwa karne hii, huna hela kuchapiwa kunaweza kukuta.. japo wapo w' ke wanaojielewa na kutunza utu wao hata km hela huna atavumilia tu. lakn nachoaminigi uvumilivu wa m'ke una mwsho tu.. ni vyema kwa karne hii m'ume afanye kaz kwa juhudi ili apate vzuri .. Mambo asa hv ni tofauti sn na...
  2. kidotimie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume akishakuwa na pesa, huwezi pata mpenzi wa kweli..

    Pesa ni sabuni ya roho hamna mtu asiependa hela. ndio maana siku hiz mpk wanaume wanafanya mambo ya ajabu na aibu kwa ajili ya pesa. kwahyo hamna asiependa pesa. maisha ya sasa pesa kwanza mapenzi baadae.. na lazma utampenda tu mwenye hela, maana kila hitaji lako anakutimizia.. kila mtu wish to...
  3. kidotimie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania najaribu kuacha hii tabia imekua ngumu

    tunahangaika na haya maisha tupate hela tutumbue maisha, sasa wew ubahili utakuja kufa uachie wenzako hela hzo wagawane wazile tn bila jasho.. na unapotumia na kusaidia wengne ndio unapoongezewa zaidi. tumia usiogope maana hela kwake siyo Benki, hela yake ni matumizi..
  4. kidotimie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soulmate

    m nifeli kingereza
  5. kidotimie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nimezaa nje, lini nimweleze mke wangu?

    mpe mkeo ukweli japo utakuwa mchungu lakn mwarobaini ataumeza tu. japo atamaind mwanzon lakn atakuelewa baadae na mbembeleze kweli mpaka akuelewe kutoka moyoni ili hata huyo mtoto atapokuja kukaa hapo asije akamnyanyasa..
  6. kidotimie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

    kama hujielewi hisia zako kwake bora usiende! maana utakuwa umemtia moyo mwenzio kuwa ombi lake limekubaliwa.. km huelewi hisia zako kwake heri usimpe tumain kabisa
  7. kidotimie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ugeni tu!

    welcome
  8. kidotimie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kwa nini tunafikiria hivi? Hii inaweza kuwa dawa ya mwanawake kweli.

    hee mimba imegeuka kuwa adhabu tena!! sikujua
  9. kidotimie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu mchezo Wanaume wanawafanyia sana Wanawake

    umenena
  10. kidotimie

    JamiiForums Tanzania Sitoki tena out na wewe

    kweli aisee inaboa mno.. yani unaongea na mtu yupo buzy tu na simu kwamba unachoongea hakina maana.. bora umshikie kwanza ukimaliza kuongea nae unamrudishia
  11. kidotimie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wafanyakazi ndivyo walivyo katika ndoa?

    hahahaaa uwii umenena
  12. kidotimie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananilaumu kwa nini nalipa kisasi

    Ure not serious at all.. sikujua wanaume kama nyie wenye akili zao timamu bado mpo na hizo tabia za kitoto.. Jitambue kwanza wewe n mume wa mtu, kwahyo unatakiwa upiganie ndoa yako na siyo kuizidsha kuporomoka kwa uzinzi wako. Maisha hayaendi hvyo chaliii
  13. kidotimie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Angalia mfano huu unaweza kukusaidia

    Ameeniiiii
  14. kidotimie

    JamiiForums Tanzania Napendwa hadi nahisi dunia yote ni yangu!

    so swtyy.. i lyk tht
  15. kidotimie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Eti nilipe mahari milioni nne (4,000,000)?!

    haitolewagi yote mahali ya mchaga, kwahyo tafuta hata mil moja peleka. ahidi utamalizia nyngne baada ya kuwa vizuri zaidi.. baada hata ya kuoa utamalizia
Back
Top Bottom