Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

kama hujielewi hisia zako kwake bora usiende! maana utakuwa umemtia moyo mwenzio kuwa ombi lake limekubaliwa.. km huelewi hisia zako kwake heri usimpe tumain kabisa
 
Kama u dont feel comfortable kuwaona wazazi wake don't go..mana ndo watajua mkwe huyo afu ukija pepea ukoo mzima wakuone shetani bure,
js tell him ur not ready for that
maybe mwaka ukiisha utajua what u feel

asante
 
kama hujielewi hisia zako kwake bora usiende! maana utakuwa umemtia moyo mwenzio kuwa ombi l
ake limekubaliwa.. km huelewi hisia zako kwake heri usimpe tumain kabisa

ni kweli, nikienda anaweza kuona nimemkubalia kitu ambacho si kweli
 
Weye ni tapeli, mwambie hutaki kumuona ajichagulie binti mwingine hapo kazini wapendane wote ampeleke kwa wazazi wake.

Kesho ukiwa hauna wa kukuoa ndio tutakusoma kwa love connect labda ukifika miaka 50, acha kumpotezea muda kaka wa watu.
 
Hivi unapata raha gani kumzungusha mtu kwa jibu ambalo ni simple yes or no? 6 months Eti hujajua kama unampenda kweli?

Wanaume wengine nao vimeo tu yaani miezi sita hujapata jibu bado anafuatilia mimi binafsi siwezi.

Anyway ngoja nikupe siri moja ya sisi wanaume. Sometimes huwa msichana akizungusha sana tunatafuta mwingine na hapohapo tunaendelea kumkomalia huyu mzungushaji. Pindi akiingia kwenye tundu na kukubali ombi, basi anaweza kuoneshwa upendo then moyo wake ukishafunguka vizuri ndiyo tunalipa kisasi kwa kumuumiza maana tayari upendo haupo tena kwake bali kwa mwingine. Angalia hili lisije kukukumba.
 
ukimaanisha yeye anakuita mpenzi si ndio lakini kwako hata humuiti mpenzi. kwan inaonesha huna hisia nae? ama

Akufukuzaye hakwambii toka.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kitu nachodoubt ni kwamba anataka mambo yaende haraka mno na anapanga mambo ya ndoa kabla sijampa jibu hivi ni sahihi?

Jibu gani? Hapa unatakiwa utoe majibu mawili;
1. Nakupenda.
2. Nipo tayari kuolewa na wewe.
Jibu namba moja linaanza, then namba mbili. Sasa hata humpendi ataanzaje mipango ya ndoa? Au mwenzetu Una sehem umeegesha kuangalia upepo unaelekea wapi?
 
Hivi unapata raha gani kumzungusha mtu kwa jibu ambalo ni simple yes or no? 6 months Eti hujajua kama unampenda kweli?

Wanaume wengine nao vimeo tu yaani miezi sita hujapata jibu bado anafuatilia mimi binafsi siwezi.

Anyway ngoja nikupe siri moja ya sisi wanaume. Sometimes huwa msichana akizungusha sana tunatafuta mwingine na hapohapo tunaendelea kumkomalia huyu mzungushaji. Pindi akiingia kwenye tundu na kukubali ombi, basi anaweza kuoneshwa upendo then moyo wake ukishafunguka vizuri ndiyo tunalipa kisasi kwa kumuumiza maana tayari upendo haupo tena kwake bali kwa mwingine. Angalia hili lisije kukukumba.
upo correct sanaa jamaa galz hawajui wanakuwa ctak nataka kwa watu wanaowapenda mwisho wa cku boy anaendelea kula pengne huku anakomaa na huyu ctaki nataka na cku akizama kwenye 18 nikulipa kisasi tu kutokana na kuzungushwa na anakuwa hana mapenzi nae coz anakuwa na mwingne.
 
simply tell him u dont love him....bora umvunje moyo sasa kuliko kumtesa baadaye.wat goes around comes around dear
 
Kama sijaelewa vile, naona kuna neno "shemeji" yenu, then kuna sehemu "bado sijamtamkua kama nampenda"....I feel sorry for him. Inaonyesha dhahiri huna hata chembe ya mapenzi kwa huyo jamaa. Back to the point, kama haupo tayari better let him know, ili kijana atafute plan B mapema.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Nilishamwambia kuhusu Plan B na aliniambia anayo nikamwambia then work on that alichonijibu ni "Plan B is to enforce plan A ambayo ni mimi" kama hapo utamjibuje sasa?
 
inategemea si lazima kwenda rasmi, unaweza kwenda kama mshkaji namaanisha rafiki yangu tumetoka wote kazini kapitia flash kuna kitu inabdi akafanyie kazi only that. huo utambulisho rasmi hadim pale kikieleweka.

Kufanya kazi ofisi moja kiukweli changamoto ila after ndoa na kama ofisi ina branch mmpja atahamishiwa branch nyingine inakubalika ila kama ofs haina branch kazi ipo hapo moyo wa chuma unahitajika hasaaaaa maana makazini kuna utani
 
This is such a good advice, thanks a lot Suprise.
 
.......

tangu nimemjua huyu kijana yapata miezi kama sita na sijawahi kumtamkia kuwa nampenda au la ......

vijana wawe makini sana na makahaba kama wewe...
 
vijana wawe makini sana na makahaba kama wewe...

Hivi ukimwona kahaba utamjua? Acha ujinga,kama huwezi shauri ni vyema ukaa kimya na si kila sehemu ucomment na pia kama unastress kiivyo kunywa maji ya baridi yatakusaidia otherwise pita tu tutashukuru.

Alafu mbona watu wengine wanacomment vizuri tu? Inakuaje mtu unakuwa na jazba na maneno mabovu ambayo hata hayana hata maana? People should change if you can't handle your own issues usipunguzie kwa wenzako.
 
Nilishamwambia kuhusu Plan B na aliniambia anayo nikamwambia then work on that alichonijibu ni "Plan B is to enforce plan A ambayo ni mimi" kama hapo utamjibuje sasa?

Deal na moyo wako kama unampenda basi mwambie miezi sita ni mingi kwa kumjua mtu na kama haumpendi mwambie pia na uache habari zakutoka nae out wakati haumpendi
 
Kwanini ucmpe jibu miezi sita bado unaona haitoshi kusema ndiyo au hapana kweli wanaume tuna kazi ya ziada
 
kama ulishawahi umia then maybe naweza kuelewa kwanini unahesitate..
be true to yourself,kama ni friend mueke kwenye friend zone(sidhani kama ni ngumu) na hata ukiamua kuwaona wazazi wake anajijua kabisa,the more unajiweka karibu nae anakua na matumaini kuwa ipo siku.
if kwenye moyo na akili yako kuna a slight chance anaweza kuwa the one na upo tayari kuwa commited then just take it,if not..let him go.
 
SIo kila mtu huwa ana-anguka ovyo kwenye mapenzi kama ufikiriavyo. Mimi hunichukua hata mwaka kuja kumwambia mtu nampenda so sishangai kwa hilo. Pia ku-flirt is not my thing, life has more to offer than branches ya michepuko

It's obvious you don't love this guy and it's best if you told him the truth instead of letting the poor guy hold on to his wishful thinking while you know very well what the outcome would be. Pili siamini kwamba true love would take that long to develop, six months and you still feel nothing for the guy, dah! Eti huwa inakuchukua hata mwaka kumwambia mtu unampenda; mdogo wangu live in the present and learn to appreciate the people who are there for you because tomorrow in unknown and no one is certain of what tomorrow would bring. If you truly know in your heart that you do not harbour any feelings for this guy then please let him go, stop being selfish and leading him on. Mpe uhuru aondoke zake na kumtafuta mpenzi wake wa kweli. Put yourself in his shoes, angekua yy ndo kakwambia umpe mda atakujibu kama anakupenda au la, si ungekuja hapa kulalamika "oh jamaa kanipotezea mda wangu", so be real and true to yourself and to that man.
 
Back
Top Bottom