Angalia mfano huu unaweza kukusaidia

Angalia mfano huu unaweza kukusaidia

:: tokaa kuleeee, umetumwa nn ww. una mapepo sio bure::::

:::Nenda zako hukoo, kamwambie Flora mbasha na mumewe, alafu pia Gwajima, una umwa nn

:: Mnatumia dini kucheza na akili za watu, alafu mnatomb..a wake za watu...nina zako...

""" Una pepo sio bure ww

Jaribu kuwa mstaarabu watu wanao kunywa viroba ni wengi huku lakini wanachangia kwa hekima
 
:: tokaa kuleeee, umetumwa nn ww. una mapepo sio bure::::

:::Nenda zako hukoo, kamwambie Flora mbasha na mumewe, alafu pia Gwajima, una umwa nn

:: Mnatumia dini kucheza na akili za watu, alafu mnatomb..a wake za watu...nina zako...

""" Una pepo sio bure ww

Mmh aisee
 
"Bwana Mungu akasema, si vema huyo mtu (Adamu) awe peke yake nitamfanyia msaidizi wa kua nae. Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito naye akalala kisha akatwaa ubavu wake mmoja na akaufanya mwanamke akamleta kwa Adamu".(MWANZO 2:18-20)

Maana yake ni nini basi kumbe linapokuja swala la nani awe mume ama mke ni Mungu mwenyewe anapaswa asimame kukuletea msaidizi wa kufanana na wewe kulala usingizi kwa maisha ya sasa ni kujiheshimu,Imani kwa Mungu na uvumilivu wa kungoja au kusubiri Wakati wa Bwana,ndiyo njia zitakazo kuongoza kumpata Mwenza wa Maisha yako atokae kwa bwana

Kumbuka apandacho mtu ndicho avunacho siku zote usipotulia na kungoja wakati wa bwana jua kuhangaika ni lazima lakini ukisubiri na kua mwaminifu atakupa tu Mungu hufanya kazi pamoja na wampendao. Pia anasema msijisumbue kwa neno lolote bali kwa kusali kuomba na kushkuru na haja zenu zijulikane na Mungu. nawatakia usiku mwema na maandalizi mema ya ibada ya kesho..........

Ameeen!
 
Ok... ngoja nami nilale usingizi...
 
Amen.pamoja sana, ni maombi yangu Mungu ashughurike na hawa wanywaviroba wa JF.
 
Nimeona mke wangu nafurahi Mungu kunipa mke mwenye hekima kama wewe.

Amen mme wangu sifa na utukufu ni kwa bwana Mungu alieziumba mbingu na nchi ikiwemo mimi na wewe bhabha bhoke Molembe......
 
Last edited by a moderator:
Amen.pamoja sana, ni maombi yangu Mungu ashughurike na hawa wanywaviroba wa JF.
hahahaaaa! Amen Tuya Mungu amesikia maombi yako umemuona mmoja hapo juu eeh!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom