Recent content by KIDODI ONE

  1. K

    Wizara ya afya imulike kituo cha afya Nyandeo

    Habarini wanajukwaa. Kituo hiki cha afya kipo wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro,kilomita chache kutoka kiwanda cha sukari. Kuna taarifa za mama wajawazito kupoteza maisha mara kwa mara kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni uzembe wa wakunga. Kuna mama mjamzito alipoteza maisha mwishoni...
  2. K

    Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

    Wanagegedana halafu mimba ndio inakuwa yai
  3. K

    Makapuku Forum

    Njema Kapuku
  4. K

    Team vibamia haya majina mpoo hapo?

    Na la kwako pia nimeliona.
  5. K

    Kutoka kuimba nyimbo za injili hadi mipasho

    Atoe ushuhuda wa alilolisemea kwa maandiko,kasema Yesu aliimba na kucheza,na hata mitume wake. Hebu atunukulie hiyo mistari ya biblia nasi tupate faida.
  6. K

    Kutoka kuimba nyimbo za injili hadi mipasho

    Hebu nipe hilo andiko tufaidi,usiongelee hewani mpendwa.
  7. K

    Yamenikuta: Kumbe bosi anatembea msichana wangu

    Atupe kwanza mlishonyuma wa yale manii aliyojipaka usoni. Fundi bomba mwenye ndoto za kuwa 'Bibi bomba'
  8. K

    Yanayojiri: Mkutano wa Edward Lowassa - Ruaha, Mikumi - Okt 23, 2015

    Mkutano upo Ruaha ndani ya viwanja vya Kilombero Sugar Company. Eneo maarufu kama K 2. Sio mikumi(eneo) bali ni tarafa ya ruaha jimbo la mikumi.
  9. K

    Bilionea tajiri wa kampuni ya usafirishaji Tripple A, Hussein Jeta anataka kuniua

    Acha tu ndugu yangu,mwenyewe leo ndio nimeona ile habari nikajua jamaa ndo ameuawa. Nimehisi ganzi mwili mzima bt now am well,live long my broo MSHINO
  10. K

    Yanayojiri: Mkutano wa Edward Lowassa - Ruaha, Mikumi - Okt 23, 2015

    Niko hapa mlima wa neema naona chopa imepita, nimebanwa na vibarua vya watu hivyo nitashiriki hapa hapa jf
  11. K

    Lowassa ndani ya Kilombero

    Du! mbona sijaipata hii news mkuu, ngoja nielekee Ruaha sasa hivi Illovo una habari ya ujio?
  12. K

    Umeichoka ndoa yako?

    Nao wana sehemu ya haki kwa mtoto wao/kaka yao/ mdogo wao. Mshauri awape kwa kiasi na si kugombana kwa sababu amewapa.Tafakari; na wewe iko siku utakuwa wifi/mama mkwe.
  13. K

    Hivi haiwezekani kuchimba mfereji kutoka Bahari ya Hindi hadi bwawa la Mtera au Kidatu?

    Niko Ruaha jirani kabisa na kidatu power plant,mwanzoni mwa wiki iliyopita tulipata fununu kutoka kwa staff wa hapo kuwa muda wowote mitambo itazimwa kutokana na kupungua kwa kina cha maji katika bwawa lao uliosababishwa na kupungua kwa maji ya mto ruaha, niliuliza kwani haiwezekani kuyarudisha...
  14. K

    Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    Unampotosha,wanaume wanajua tu k.u.t.o.m.b.a na sio kut.omb.ewa. Siri nyingine ni kuzikwa nazo tu hamna namna.
Back
Top Bottom