Maisha kama mtihani uki copy majibu ya mtu tegemea kupata matokeo kama yake bila kujali niya ufauru au kuferi 😂😂😂😂 pole wakati mwingine ishi maisha yako wahenga walisha sema kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake😂😂😂
Bado ulikuwa usingizini kama unaamini kuna mwanasiasa anae pambania cheo flani kwa faida ya mtu mwingine amka utakojoa ili ni kwa faida zake mwenyewe na baadae ukifika wakati wakutaka umpe nafasi tena atakutetea kuzubaisha akipata nafasi maisha yake yana endelea kama kawaida wewe utajijua na...
Pole ndio tafsiri harisi ya mwanaume ila nakushauri jambo hili ulipaswa kuwa shirikisha marafiki zako wa karibu kabla ya kuja mtandaoni huku hakuna wasaidiaji wengi ni wachambaji
siku hizi mapenzi yame geuzwa kitega uchumi watu wanatumia mapenzi kujipatia pesa hapo awali ilikuwa kwa wanawake tu ila sasa mpaka wanaume hivyo basi udanganyifu umeongezeka
NB kwa sasa kupata mwenza mwenye mapenzi ya kweli ni ngumu kama kupata samaki kwenye dimbwi la maji ya mvua 😂😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.