Recent content by kidesa

  1. K

    Shule za sekondari binafsi na mashirika ya dini kufukuza wanafunzi wasiofikia wastani

    Wenzetu nchi nyingine zinazofanya vzuri kwenye sekta ya elimu mchujo is there to stay. Ni njia mojawapo ya kuwafanya wafocus kwenye masomo.
  2. K

    Shule za sekondari binafsi na mashirika ya dini kufukuza wanafunzi wasiofikia wastani

    Kuna maagizo mengine sio compatible sehemu zote mkuu.
  3. K

    Shule za sekondari binafsi na mashirika ya dini kufukuza wanafunzi wasiofikia wastani

    We jamaa vipi? Shule binafsi zinafanya shughuli zake kisheria kabisa kama wanavyofanya wafanyabiashara wengine katika kada nyingine yoyote. Lengo lao siku zote ni kutengeneza faida. Ili kupata wateja wengi(wanafunzi) lazima wapate maokeo mazuri.Unafahamu vizuri kabisa hakuna anayekulazimisha...
  4. K

    Kwa hili la Rais Magufuli, Magazeti yanaongopea jamii

    Ifike muda uache upuuzi wa vyama. Huu ni muda tunajanga nchi kama watanzania. Usitske watu wakutukane afu uwaone hawana busara. LEARN HOW TO BEHAVE AS A CITIZEN AND NOT AS POLITICAL PARTY MEMBER!
  5. K

    Hivi ni kwanini mabinti wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

    Hopeless kabisa. What a shame!!!
  6. K

    Hivi ni kwanini mabinti wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

    Bila shaka huyu dogo ni first year, na yupo field. Jiangalie kijana hata huko Ukimwi upo. Take care!
  7. K

    Hivi ni kwanini mabinti wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

    ahaaaa haaaa... umempatia huyu. Wakiingiza supp. ndo wa kwanza kutukana walimu!
  8. K

    No Money, No job in Acacia Gold Mine

    kama una evidence inabidi wakamatishwe za moto hao. watu wamekomaa wakapiga shule afu kazi wanapewa maboya tu ambao hata kaz hawajui kabisa. Swine kabisa
  9. K

    Maswali 10 kuhusu magaidi wa Amboni, Tanga

    sasa hapo CCM imeingiaje wewe?
  10. K

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    kwa sababu housegirl anaweza kugonga watu akiwemo mtoto.
  11. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Ilala, Dar natafuta mtu wa kubadilishana nae niende kahama halmashauri ya msalala. ukiwa interested ni-PM
  12. K

    Vannesa Mdee: Sipendi kupika

    Huyu ndo mtangazaji anaenipa hamu kuskiliza radio.... I like Vanessa!
  13. K

    World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    acha viroba
  14. K

    Kwa anayefahamu sifa za kujiunga na kidato cha tano mwaka huu

    Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu utaratibu wa kuomba nafasi ya masomo ya ualimu ngazi ya cheti kwa mwaka huu 2014. Na pia naomba kujulishwa kuhusu utaratibu wa kutuma maombi pamoja na tarehe ya mwisho ya kuomba.
  15. K

    Kwa anayefahamu sifa za kujiunga na kidato cha tano mwaka huu

    Hivi utaratibu wa kuomba nafasi ya masomo ya ualimu ngazi ya cheti ukoje mwaka huu? Na deadline ya kuaply ni lini?
Back
Top Bottom