No Money, No job in Acacia Gold Mine

No Money, No job in Acacia Gold Mine

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,550
Ulishawahi kuwaza kufanya kazi ktk mgodi wa dhahabu Bulyanhulu? Basi kama huna milioni moja ya kuhonga iwe ACACIA yenyewe au BYRNECUT au RED MINE ambazo ni kampuni mama za ACACIA basi jidanganye kupata kazi,zamani ulikuwa mgodi mzuri sana.

Watu walipata kazi bila rushwa lakini tangu ujio wa hawa mashetani mgodini pale huwezi kupata kazi naapa,virus wa kutoa pale ili upate kazi ni,Noel Shilatu HR Manager Byrnecut,Daniel Magunila HR Officer Acacia,Aloyce Magovongo Mine Captain Red Mine,hawa ndo virus hatari pale mgodini,ni wajanja kama nyoka na wanakula rushwa kwa staili kali ambayo hakuna anayeweza kujua hata kidogo,kwa mfano Noel anajifanya mlokole,ukiwa na ndugu yako anataka kazi na ni experienced ukampa CV zako mzungu azipeleke akifika kwa Noel anaambiwa.

These people are corruptive we can't hire them since they prefer bribe,halafu yeye anazunguka mlango wa nyuma akisaidiwa na magunila kuchukua pesa za rushwa na kutoa kazi,hadi sasa ameshaingiza kazini watu wa CASPIAN wasio wazoefu watano waliotoa milioni.
 
afadhali na wengine mseme maana ningeandika mimi hizi taarifa watu humu huwa wananiita mzushi,mwanyika uko wapi? shughulikia haraka hawa watu ili vijana wapate kazi kwa haki.
 
Yaani nilivyoanza kusoma tu nikahisi ni wiseboy umekuja kivingine.

Anyway lisemwalo lipo kama halipo laja cha msingi wanaohusika washughulikie tatizo lililopo
 
Last edited by a moderator:
Siwapendi watu wa namna hii,Kazi kuwanyima wasio na pesa kupata kazi kwa uhalali,Watanzania wengi wana roho mbaya sana hata utu wa kuwahurumia Watanzania wenzao haupo.Ila watafuta kazi muendelee na moyo mkuu na ukiombwa hongo usitoe,kimbia kabisa maana sehemu yako nzuri Mungu kaiandaa na ipo siku utasahau na kusambaza ushindi kwa namna ya pekee sana.
 
Chondechoje wajameni isije mwatuletea maneno ya wakosaji!

Anyways,,,ila ukweli unabaki kuwa multinationals nyingi zinaharibiwa na waswahili wenyewe. Kuna tatizo kubwa miongoni mwetu kuliko expatriates. Waswahili tunaongoza kwa kuleta majungu, kuendekeza deal za kuiba, rushwa na kutafutiana visa.

Kwa haya tunachekwa sana na kudharaulika, hatuna budi kujirekebisha.
 
kama una evidence inabidi wakamatishwe za moto hao.
watu wamekomaa wakapiga shule afu kazi wanapewa maboya tu ambao hata kaz hawajui kabisa. Swine kabisa
 
yani hapo kuna siku nilijaribu makusudi kuomba kazi ambayo nimeover qualify zikapita siku zao 30 wanazosema nkaona kimya..... sikujiangaisha tena kuomba kazi kwao, hata waseme wanataka watu 1000 wa profession yangu!!!!
 
Rushwa ni Adui wa haki na ni dhambi kubwa sana acheni mchezo huo tafadhali.
 
Vigezo na masharti vinazingatiwa Sana pale Acacia,kama huna utaishia kuwalaumu watu tu. Mbona hao jamaa wako poa sana au una bifu binafsi! I've been there,I know them to the max!!! #Acha #Majungu#. Toa na wewe!
 
Kuna ndugu yangu aliomba kazi huo mgidi alikizi vigezo vyote akaja kukwama hapo kwenye hiyo m 1 na kazi hakupata!!!

Only in Tanzania
 
Ulishawahi kuwaza kufanya kazi ktk mgodi wa dhahabu Bulyanhulu? Basi kama huna milioni moja ya kuhonga iwe ACACIA yenyewe au BYRNECUT au RED MINE ambazo ni kampuni mama za ACACIA basi jidanganye kupata kazi,zamani ulikuwa mgodi mzuri sana.

Watu walipata kazi bila rushwa lakini tangu ujio wa hawa mashetani mgodini pale huwezi kupata kazi naapa,virus wa kutoa pale ili upate kazi ni,Noel Shilatu HR Manager Byrnecut,Daniel Magunila HR Officer Acacia,Aloyce Magovongo Mine Captain Red Mine,hawa ndo virus hatari pale mgodini,ni wajanja kama nyoka na wanakula rushwa kwa staili kali ambayo hakuna anayeweza kujua hata kidogo,kwa mfano Noel anajifanya mlokole,ukiwa na ndugu yako anataka kazi na ni experienced ukampa CV zako mzungu azipeleke akifika kwa Noel anaambiwa.

These people are corruptive we can't hire them since they prefer bribe,halafu yeye anazunguka mlango wa nyuma akisaidiwa na magunila kuchukua pesa za rushwa na kutoa kazi,hadi sasa ameshaingiza kazini watu wa CASPIAN wasio wazoefu watano waliotoa milioni.

Bila Mil moja japata kazi, bila laki tatu hujapata TILL ya mpesa, nadhani tunahitaji kuiunga mkono ACT turudishe ujamaa, tukate mirija ya unyonyaji, njia kuu za uchumi zirudi mikononi mwa umma na utu wa mtu urudi mahala pake. Mama Kabaka badala ya kushugulikia matatizo kama haya anaenda kuondoa mafunzo ya madeva wa mabasi na kuondoa tochi kukagua mwendokasi wa magari,
 
Pole .

Cha muhimu ninkujitahidi tu kupata pesa kupitia milango mingine ,ukiona mlango mmoja umekata kufunguka komaa na njia ya pili .

Hakuna haja ya kutaja watu majina humu moja kwa moja .

1. Huna ushahidi kamili wa watu hao kupokea rushwa .
2. Si Vyema kutaja watu,huku ni kuharibia watu profile zao.

3. Usijitengenezee uadui na watu ,bado wewe ni mtafutaji .

Inauma saana,kukosa kazi pale ambapo unatamani kufanyia kazi .
 
Ulishawahi kuwaza kufanya kazi ktk mgodi wa dhahabu Bulyanhulu? Basi kama huna milioni moja ya kuhonga iwe ACACIA yenyewe au BYRNECUT au RED MINE ambazo ni kampuni mama za ACACIA basi jidanganye kupata kazi,zamani ulikuwa mgodi mzuri sana.

Watu walipata kazi bila rushwa lakini tangu ujio wa hawa mashetani mgodini pale huwezi kupata kazi naapa,virus wa kutoa pale ili upate kazi ni,Noel Shilatu HR Manager Byrnecut,Daniel Magunila HR Officer Acacia,Aloyce Magovongo Mine Captain Red Mine,hawa ndo virus hatari pale mgodini,ni wajanja kama nyoka na wanakula rushwa kwa staili kali ambayo hakuna anayeweza kujua hata kidogo,kwa mfano Noel anajifanya mlokole,ukiwa na ndugu yako anataka kazi na ni experienced ukampa CV zako mzungu azipeleke akifika kwa Noel anaambiwa.

These people are corruptive we can't hire them since they prefer bribe,halafu yeye anazunguka mlango wa nyuma akisaidiwa na magunila kuchukua pesa za rushwa na kutoa kazi,hadi sasa ameshaingiza kazini watu wa CASPIAN wasio wazoefu watano waliotoa milioni.

Naskia kuna hotel moja hapa dar imejaa wagonjwa kutoka huko migodini sijui ipo maeneo gani. Then kwanini mnalilia kwenda kufanya kazi katika mazingira hatarishi kama hayo!!!.
 
Back
Top Bottom