Pia chunguza liva alianza kuyumba pale ambpo alonso alipoondka kwa mahna hio alonso tmu ilikua inacheza kwa muundo wake pale liva na kaenda madrid apakumshinda na akawa kati y watu muhmu ndio mahna mm namueshmu sana alonso ndie kiungo bora aliyepitia liva
[BREAKING NEWS:
Mmiliki wa VIP Enginering, aliyekuwa anamiliki hisa IPTL Ndugu Rugemalira amefungua kesi mahakama kuu akiidai serikali jumla ya Sh. 398 bilion zilizokuwemo/zinazotakiwa kuwemo katika Escrow Account ya Tegete na zilizolipwa kwa kampuni ya PAP na kuleta mjafala mkubwa bungeni...
BREAKING NEWS:
LIVERPOOL YATHIBITISHA STEVEN GERRARD KUONDOKA WAKATI WA KIANGAZI (BAADA YA MSIMU HUU):
Liverpool wamesema kuwa Steven Gerrard ataondoka timu hiyo baada ya msimu huu kuisha.
Hivi karibuni Gerrard alitimiza miaka 16 akiwa klabuni hapo, lakini nguvu yake imekuwa na misukosuko na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.