Mugalu ni forward ambaye anahitaji atafuniwe yeye amaze tu. Ubora wake unaonekana kama ana viungo wazuri na mawinga wa kumlisha. Akipoteza mpira hakabi, hana kasi kabisa. Mechi zenye presha hatambi kabisa, ligi ya Mabingwa iliyopita kumbukumbu zangu zinaniambia kwamba alifunga mechi dhidi ya As...