Hii kasi ya Yanga uwanjani ni kama Liverpool

Lipuli wanachezeshwa lizombe kwa kasi ya ajabu, ama kweli timu nyingine bila kubebwa na marefa na magoli yao ya offside wangekuwa wapi sijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kasi imegeuka kuwa ya Norwich naona ulikurupuka kuandika kama kifaru kaona moto ,Hii ndiyo yanga kwasu kwasu na malalamiko kibao !kasi kama nani tena?
 
Simba nasikia mnauza vitambaa vizr sana, Mana Yanga waliposhona sare kwa kitambaa walichonunua kwa Simba walifurahi sana.
Saizi wameshona tatu kutoka Kwa mbeya city, Prison na PT, wameaanza kushikana uchawi.
Sijui hivyo vitambaa sio vizuri.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom