Recent content by kidafro

  1. kidafro

    JamiiForums Tanzania Ukitaka uchukiwe na jamii ya wapumbavu, ni kuwaambia ukweli. Hayati Magufuli alichukiwa kwa sababu ya kuwaambia ukweli

    Nimecheka kama ni mazuri[emoji23][emoji23][emoji23]
  2. kidafro

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    Fanya mpango bhs
  3. kidafro

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufahamu Mafuta mazuri ya kutumia kwa ngozi iliyoathiriwa na makovu ya chunusi

    Ushauri wenu tafadhari[emoji123]
  4. kidafro

    JamiiForums Tanzania Sioni Yanga akimfunga SSC Jumamosi

    Jambo jema Ni kwamba huoni[emoji23][emoji23][emoji23]
  5. kidafro

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Marekani ila sina ndugu wala yeyote ninayemjua

    Karibu sana
  6. kidafro

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa kupewa mbinu za kujibu interview, wasaidizi wake mmemuangusha

    Mama Samia Si mtoto mdgo na hajaanza kuhojiwa Jana au juzi Yule kaongea kitu ambacho kwake kipo sahihi japo Si sahihi kwa watanzania wengine ko Si swala la kumkingia kifua tayal amwonesha makucha, na ule ndo msmamo wake tayal kaonesha, tuendelee kua wavumilivu mengi yatatokea......,
  7. kidafro

    JamiiForums Tanzania Kagere vs Mayele: Yupi ni bora zaidi?

    Nazani wengi watajibu kishabiki Bila kufata uhalisia wa mchezaji timu na aina yake.... Kuna Mambo kadhaa yanamfanya mchezaji kuonekana Ni Bora kuliko mwenzio.... 1: Number Hapa tunazungumzia Namba za Hao wachezaji ambazo wanazitumikia katika timu zao tukiwatazama Mayele na kagere wote wanacheza...
  8. kidafro

    JamiiForums Tanzania Huwa sielewi kwanini Hayati Magufuli aliwakata Adadi na Maselle na kuwaweka MwanaFA na Katambi!

    Dictatorship government is better than democratic government take references kwa nchi zote zilizowah kuwa na maraisi wenye misimamo Yao binafsi Bila kubabaishwa na wengine jinsi zilivyoendeleaa,,, Tanzania tunahitaji kina magufuli misimu Kumi mfululizo ili tupige hatuaa
  9. kidafro

    JamiiForums Tanzania Matokeo yangu yamekosewa NACTE, nimehangaika sijapata msaada

    Bro Pole sana kwa Hilo ila Kuna Jambo moja umeshindwa kulitekeleza , tusikatae uhalisia wa nchi yetu siku zote mkono mtupu haulambwi ko jitathmin tafta kitu nenda Baraza kabsa then ongea na mmja wa watendaji wa Baraza pale inawezekana chuo kinatuma barua ndio sema siku zote pesa kwanza
  10. kidafro

    JamiiForums Tanzania Matokeo yangu yamekosewa NACTE, nimehangaika sijapata msaada

    Kuna utofaut Kati ya NACTE na NECTA kaka litambue hilo
  11. kidafro

    JamiiForums Tanzania Dar: Soko la Mabegi Karume laungua moto alfajiri ya Aprili 8, 2022

    Nchi yeti bado imetawaliwa na sera za ubinafsi na kuoneana tu why kila siku wamachinga, why kila siku masoko ya wafanya biashara wadogo wadogo, any way Kuna siku Mambo yatabadilika..........[emoji1241][emoji1241]
  12. kidafro

    JamiiForums Tanzania Ufugaii Nguruwe vs ufugaji Kuku

    Itategemeanaa na aina gan ya ufugaji unahitaji kufanya na aina gan ya ngurue au kuku unahitaji kufuga maana wote wanatofautiana, pia Ni unamtaji wa kiasi gan kufanya ufugaj huo, ngurue zipo very simple kwenye suala la ufugaji kwa mtazamo japo ukiingia katika industry hiyo ndo utaona Ni gharama...
  13. kidafro

    JamiiForums Tanzania Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

    Hakika na kwa wote weñye uhitaji WA uzi huo tuwasiliane ninao dukan
Back
Top Bottom