Mawivu ya nini, support mwenzenu ktk, "" ukitaka kuujua uchi wa mwenzio anza na wako """ emagin ww ndo unaongelewa ungejisikiaje. Mawazo ( +) jaribu kuwa nayo kwa kila mtu
Hata kwa khanga haya maneno yanaweza kuandikwa maana watanzania/ wabongo wanayo siku zote na wanaweza kutunga papokwapapo. Kama haya mlikua nayo na mkayakalia tuu mlikuwa mnasubiri nn??
Maneno yako ni mfano wa kwenye ndoa au mahusiano, mkiwa ndani ya ndoa ni kimya ila siku mmea achana ndo...
Kama wote wangekuwa na akili hii pia mhe: Pombe awarudishe wale wote aliowaita wafanyakazi hewa, majipu pia akiri kosa kuwapa watumishi majinaxya ajabu maana vyeti siyo kitu cha kuangalia/ ku.base/ matter Bali uchapakazi wa MTU ndo kitu cha msingi ktk kazi bila kujali kapitia njia ipi ktk...
Samehe saba Mara sabini lakini ukificha uchafu matokeo ni nini?
Ukificha uovu na wewe ni mwovu! Ili yasiendelee kutokea wajifunze wengine basi hakuna budi kumwaga wazi.
Suala la maji, madawati, matibabu ni la CCM maana vipo madarakani, vipi uzungumzie vyama pinzani kuwa vinawaza upuuzi? Je unafikiri vitoe maji na madawa pamoja na madawati ndo vichukue nchi au kipi ccm mpka sasa kimefanya cha msingi?
Jaman wengine kama vile wamelogwa na Makonda, kudhalilisha MTU na haki unaona , kwan angefanya upelelezi kwa kuwaita hao wote wangekataa? Cha msingi hiki kisa kina msingi wake na chanzo ndo maana baadhi ya mawaziri hawakushirikishwa kwenye sakata nyeti hili.Tafakari tumia maarifa & akili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.