Recent content by kichwabox

  1. kichwabox

    JamiiForums Tanzania wekeni majina na namba za ma HR hapa iwe rahisi kupata kazi

    kuwa na namba ni nusu ya kuonana kama ingekuwa barua tuseme kweli wengi mliopo makazini mmeingia kwa vimemo hasa mashirika na makampuni binafsi
  2. kichwabox

    JamiiForums Tanzania wekeni majina na namba za ma HR hapa iwe rahisi kupata kazi

    tusidanganyane huko utatuma barua mpaka uchoke ndugu
  3. kichwabox

    JamiiForums Tanzania wekeni majina na namba za ma HR hapa iwe rahisi kupata kazi

    wekeni namba za ma hr wa mabank au kampuni zingine iwe rahisi kupata kazi hapa tusiwe wachoyo kwa tulizonazo hujui bahati yako lini
  4. kichwabox

    JamiiForums Tanzania Vigogo wawili ATCL wasimamishwa kazi kwa kosa la kumchagua rubani asiye na sifa kusoma Canada

    watakuja kuwafundisha wngine wakirudi
  5. kichwabox

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Wasichana wanaopenda kuvaa nguo ndefu/suruali wana miguu myembamba!

    watakuwa na mabaka mabaka miguuni
  6. kichwabox

    JamiiForums Tanzania Kwa Vigezo Hivi tutapata kazi kweli?

    kuweni serious basi unaepost
  7. kichwabox

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Rwanda ni nchi yenye usalama zaidi Afrika Mashariki

    mbona marekani ni kubwa zaidi ya bara la afrika ila matukio machache,sema hali ya uchumi mzuri nao unahusika
  8. kichwabox

    JamiiForums Tanzania Natamani Magufuli uwarudishe Walimu walioripoti ila kulingana na matatizo mbalimbali hawakuendelea

    Kuna walimu walitolewa kwenye payroll ila shida unakuta walirudia mitahani yao ya chuo kwa kuwa hawakuaga wakatolewa kwenye payroll ombi langu kwa JPM utoe msamaha vijana warudi kazini maana ajira nje ni ngumu na kwenye payroll walikuwa wameshaingia
  9. kichwabox

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ualimu

    matusi ya nini jamani nyie wote mapimbi
  10. kichwabox

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Azania Bank Julai 2016

    sio kweli kuna wakandalasi kibao feki wanatumia auzoefu tu
  11. kichwabox

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Azania Bank Julai 2016

    wabaguzi tu jk alishasema mwenye degree anafanya kazi yoyote kutoa udaktari na sheria
  12. kichwabox

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Wakurugenzi wa NSSF wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    tena kuna baadhi ya vigogo walishaajili ndugu zao sasa ndio kiama chao,kweli serikali ya JPM ni moto chini hongereni
  13. kichwabox

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Mh. Rais ipo mifano mingi tu hasahasa kwenye mifuko ya jamii wamewekana ndungu wa viongozi wa mifuko hiyo na watoto wa vigogo wengine hawana hata shahada ndio unakuta wakuu wa vitengo. Naomba umulike huko ili usaili uwe huru na wa haki unakuta kunafanyika usaili mara mbili kabla ya usaili wa...
  14. kichwabox

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo hawajibu E-mail wala kupokea simu

    tatizo wameajiliwa watoto wa wakubwa
  15. kichwabox

    JamiiForums Tanzania Nasubiri kwa hamu JPM awarudishe walimu wote ambao walilipoti na hawakuendelea

    asante hasa wakati wa kukabidhiwa rungu la chama huenda akalisema hili
Back
Top Bottom