kichwabox
Senior Member
- Feb 14, 2016
- 152
- 40
Kuna walimu waliolipoti ila hawakuendelea kwa sababu mbalaimbali ikiwemo kupata carry over za masomo yao na waliporudi wakaambiwa nafasi zao zimejaa,JPM nausubiri msamaha wako ili walimu warudi kazini maana nje ya hapo degree ya ualimu hawaajili kwingine labda urudishe sheria ya mh kikwete kuwa degree yoyote inafanya kazi popote kutoa sheria na udaktari.asante