Recent content by kichwabaya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

    acha utani, mbona hakuna kitu kwenye mtandao wao
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa Avunja rekodi Afrika

    kuna ukweli wowote hapa!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rai: Kapuya asamehewe...!

    napata wasiwasi wa kuhusu ukweli wa picha hizi hususani picha ya pili, ebu wataalamu wa ict watusaidie maana inawezekana zikawa zimefanyiwa editing
  4. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    R.I.P dk Mvungi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo hili la sauti TBC1 ni kwangu tu,au?

    Tbc tangu walivyogeuzwa kuwa mali na wasemaji wa ccm niliacha kuiangalia labda kwa bahati mbaya.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Tibaijuka atoa kali Jimboni:Atembea na sufuria la Pilau kushawishi wananchi kuhudhria Mkutano

    ngurumo yupo muleba kasikazini kwa charles Mwijage
  7. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Tibaijuka atoa kali Jimboni:Atembea na sufuria la Pilau kushawishi wananchi kuhudhria Mkutano

    tutaaminije kama habari hizi ni za kweli? weka picha ya sufuria hizo kwa karne ya sasa haiwezekani kwenye mkutano mzima ukakosa mtu mwenye simu yenye kamera, huku vijijini hususan rulanda simu za muchina ambazo hazikosi kamera ndio zimejazana nachelea kusema hizi ni habari za kupika, vinginevyo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Madiwani 8 waliofutwa uanachama CCM Bukoba kuomba radhi

    in short bukoba mjini katika kuchagua mlikosea sana ni madiwani wachache wenye akili ambao wanaweza kusimamia jambo likatekelezwa tofauti na halmashauri nyingine za kagera wengi wapo tu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Madiwani 8 waliofutwa uanachama CCM Bukoba kuomba radhi

    wale wote ni majanga make wapo baadhi yao kuandika kwao ni shinda
  10. K

    JamiiForums Tanzania TAHLISO yamuumbua January Makamba, yadai ni wanavyuo feki waliandaliwa, urais wamtesa

    kama kawaida ya wanasiasa wa tanzania kututumia kama vibaraka, hapa hakuna kitu ni watu tu wamepandikizwa ili kumpigia chapuo
  11. K

    JamiiForums Tanzania January Makamba azidi kuipa presha CHADEMA

    makamba ana influence gani ya kutisha watu? huo ushabiki husio na maana!!!!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa Njema kwa wapenda AMANI - REDIO IMAAN itakuwa hewani in near future-ELIMU BILA MIPAKA

    radio gani pedwa inayochochea uvunjifu wa amani!!!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Vitisho Kagame: Rwanda ikituchokoza kijeshi tutaichakaza

    kwani rais wa nchi anadharauriwa kiasi hicho? ebu tujiulize kwani kikwete kagame amdharau kwa namna hiyo.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Lwakatare atapokelewa kama mfalme Bukoba mjini.

    kwani tatizo ni nini?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    kama wazanzibar hawawezi kukubali kuvunjwa muungano ya kuwa na serikali moja ni sahihi kuwa na serikali tatu.
Back
Top Bottom