Tatizo hili la sauti TBC1 ni kwangu tu,au?

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
635
Wakuu kuna kuyumba fulani hivi kwa sauti hasa unaposikiliza kwa makini muziki/wimbo.Yaani sauti inakuwa inashake fulani hivi kama betri zimechoka vile! Usiposikiliza kwa makini huwezi kugundua ila ukisikiliza kwa makini inakuwa obvious.Kwangu mimi naona kama ni kero,inaninyima ile raha ninayokuwa nimeanticipate.

Kwa mfano siku ya nyerere day,wakati anaimba msanii fulani hivi(sikumbuki vizuri kama ni AT au la)sauti ilikuwa inayumba hadi ile ladha ya wimbo ikapotea.Vipi kuna mwingine aliyestukia hiyo kitu?
 
i doubt decorder startimes labda ni mbovu au sijuhi ni nini leo toka asb sipati chanel zozote na shida hii naipata kila mara
 
Back
Top Bottom