Recent content by kichwa mbovu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool Vs Manchester City; Njooni tujadili hii game

    Aisee tulishakwambia acha utabiri wa ajabu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

    Swala la kujitoa ni mgombea,lakini wakati wa kuchukua form chama ni mdhamini?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Profesa Assad ya kujishusha iwe Funzo kwa wastaafu watarajiwa

    Jamaa unaweza kutana naye mitaa ya Bwiru anatembea zake jioni
  4. K

    JamiiForums Tanzania Endapo Mashtaka ya Erick Kabendera ni ya Kutengeneza basi gharika inakuja

    Aliandika kipi cha kutishia usalama wa taifa letu mkuu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Malipo ya magari yenye plate number za Zanzibar kutumika Tz bara

    Kila mwezi unatakiwa kulipia gharama hizo,ikioverstay yaani baada ya miezi mitatu na siku moja au mbili unapigwa faini ya asilimia 20% ya thamani ya gari,ilishawahi nitokea hii na majamaa flani( wasouth) ilikuwa mbinde sana na nao maafisa forodha
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jumapili Prof. Assad alikuwa akitafutwa anasema yupo nje ya Nchi

    Mbona nyinyi mnakufuru na watu wanawaacha
  7. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Tumpe pongezi keeper wa spurs alicheza michomo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Endapo Chadema kitapata wenyeviti walau 10 wa serikali za mitaa 24/11/2019 jijini Dsm basi chama hicho hakitakufa karibuni

    Yaani kwa wizi ulianzia kwenu mpaka kurudi chaguzi za ndani? Aisee hiki chama ni wezi kwelikweli
  9. K

    JamiiForums Tanzania Haitokuja kutokea Kampuni safi ya usafirishaji abiria Tanzania kama Scandinavian Express

    Ati[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  10. K

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili ya enzi hizo!

    Sauti ya Chama Omary Matata ni nyingine kabisa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    This time around bado mapema,inabidi achange karata zake vyema la yatamkuta ya kusotea mid table position,kheri ili limetokea mapema kabla ya kukutana naye
  12. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ulimkosea nini Mheshimiwa Rais!?

    [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Back
Top Bottom