Mwigulu Nchemba ulimkosea nini Mheshimiwa Rais!?

Mwigulu Nchemba ulimkosea nini Mheshimiwa Rais!?

Habari za siku nyingi kaka!

Mara ya mwisho tulikutuna Lumumba na ukanidokeza kuhusu safari yako ya Mkoani Kigoma na 'ulinitonya' kuhusu safari yako ya Nigeria kwa TB J.

Tulipiga soga zihusuzo 'jembe' Magu hasa kuhusu anavyowafanya msilale 'Mawaziri' hiyo yote ni kwa sababu ya u busy usiokoma!Tulicheka,tulifurahi na mwisho ukaniaga na ulielekea katika ofisi ya KM.

Ajabu baada ya siku mbili mbele nikasikia tetesi kuwa mda wowote utatumbuliwa,nilihamaki!

Nilikutafuta kwenye simu yako na hukupatikana. Lakini asubuhi yake nikaelezwa kwamba ulikesha safari Kigoma na tayari ulifika asubuhi mapema.Nilikumbuka kuhusu hiyo safari kwa sababu ulinijuza.

Siku hiyo hiyo mchana nikapata habari kwamba umetumbuliwa!Hakika tetesi za janaye jioni zikawa za kweli.Nilijiuliza pasina kuelewa sababu.

Sikuelewa hali uliyokuwa nayo na hasa kwasababu hata wewe hukufahamu na ulishtukizwa na maamuzi yale ya bwana mkubwa.

Sasa leo na kwa uwazi nataka nifahamu ulifanya/ulimkosea nini bwana mkubwa!?
Ukosefu wa elimu na unafiki unatukwamisha sana sisi waDanganyika, yan una personal contacts zake afu unakuja kumuuliza swali huku??? hapa kuna mawili either wewe ni muongo yan huna mawasiliano yake ila umetia chumvi or Ni kwel ulikuwa mtu wake ila kakupiga chini kwa mambo yako ya kinafiki so huwezi kumfikia kimawasiliano wala physically so huku ndio imekuwa kimbilio lako!!!!
 
Huenda hicho kikao chenu ndio kiligharimu Maisha ya uwaziri ya mhe; who knows kwama either wewe au hao wenzio wengine walimpigia mhe No kuhusu malalamiko yake and then mhe aka take action?
Hivi (out of the topic ) huko Nigeria wanaendaga kufanya nini kwa TB Joshua?
 
Kuimba kwaya!

Amepoteaje - si Mbunge?
kwani saiv anaonekana sana kama mwanzo, enzi za JK alikuwa anaone hadi hapa JF, kipindi hiki cha Magu akati waziri alikuwa anaonekana ndondo cup. toka ang'olewe uwaziri simuoni tena, hadi bungeni sijamuona akichangia hoja
 
Hii sijui akili ya wapi. Kama unawasiliana na Mwigulu. Kwa nini sasa usimuulize unakuja kuuliza huku? Unaweza ukawa na mkeo mnalala naye mkapishana na ukaja kuuliza JF kwa nini amekununia. Wewe una akili?

Habari za siku nyingi kaka!

Mara ya mwisho tulikutuna Lumumba na ukanidokeza kuhusu safari yako ya Mkoani Kigoma na 'ulinitonya' kuhusu safari yako ya Nigeria kwa TB J.

Tulipiga soga zihusuzo 'jembe' Magu hasa kuhusu anavyowafanya msilale 'Mawaziri' hiyo yote ni kwa sababu ya u busy usiokoma!Tulicheka,tulifurahi na mwisho ukaniaga na ulielekea katika ofisi ya KM.

Ajabu baada ya siku mbili mbele nikasikia tetesi kuwa mda wowote utatumbuliwa,nilihamaki!

Nilikutafuta kwenye simu yako na hukupatikana. Lakini asubuhi yake nikaelezwa kwamba ulikesha safari Kigoma na tayari ulifika asubuhi mapema.Nilikumbuka kuhusu hiyo safari kwa sababu ulinijuza.

Siku hiyo hiyo mchana nikapata habari kwamba umetumbuliwa!Hakika tetesi za janaye jioni zikawa za kweli.Nilijiuliza pasina kuelewa sababu.

Sikuelewa hali uliyokuwa nayo na hasa kwasababu hata wewe hukufahamu na ulishtukizwa na maamuzi yale ya bwana mkubwa.

Sasa leo na kwa uwazi nataka nifahamu ulifanya/ulimkosea nini bwana mkubwa!?
 
Kumbuka unamuongelea mchumi namba moja mwenye flying A kitaaluma, ujue!!!
===
Sijajua lengo la mleta mada.

Huyo ni msomi wa vyeti lakini hana uwezo. Kwa hiyo namna pekee ni yeye kujibanza kwenye siasa kwani huko kinachokubeba ni ukada tu hata kama huna uwezo.
 
Hamna cha kufitinishwa, ukweli ni kuwa Mwigulu ni baadhi ya wanasiasa wenye siasa za kishenzi sana ndani ya nchi hii. Hao akina Mwigulu ndio waliokuwa wakipanga na kutekeleza siasa za kikatili wakati wa utawala wa JK. Hicho kilichomkuta juzi ni karma tu.
damu za watu zinamuandama yule kaka, kuna siku anaulizwa Juu Ya maiti zinazopatikana kando ya mito na bahari, akajibu eti ni wahamiaji haramu, as if wahamiaji haramu sio binadamu Mwigulu Nchemba
 
Mwambieni akafute majina yake kwenye mawe, madaraja na mibuyu nchi nzima Jiwe akipita ziarani kila sehemu huko maporini anaona jina la Mwigulu [emoji23] [emoji23]
 
Nchi hii ina watu wenye msongo wengi sana
Andiko lako halina mantiki!

Kwa nini hukumtafuta tena ili muongee naye kama mlivyokuwa mnaongea kabla hajatumbuliwa?

Sasa unaleta hapa Jamiiforums ili tukusaidie nini wakati unayemuuliza huwa unaongea naye?

Kumbuka kutunga story ili ionekane niya kweli inataka mtu mwenye fikra pana na uelewa mkubwa!
 
Kosa lake kubwa kuna waraka wa maaskofu uliotolewa kumponda Magu, akatetea ni uhuru wao wa kutoa maoni.

Baada ya hapo alikuwa analiwa timing tu, watu wasahau kidogo kukataa kukemea waraka hadharani.

Kazi ya kutumbuliwa aikuwa ngumu kwa mtu aliekuwa amepewa majukumu makubwa halafu yeye kila siku anashinda kwenye mechi za ndondo cup huko kanda ya ziwa na akija Dar ni mambo ya yanga.

Alionewa, hila nafasi aliyopewa ilikuwa kubwa kwake pia.

Ajabu tangia atimuliwe uwaziri aonekani tena kwenye ndondo cup wakati kwa sasa anao muda wa kutosha.
Hata kambi za Yanga haonekani tena
 
Huyo ni msomi wa vyeti lakini hana uwezo. Kwa hiyo namna pekee ni yeye kujibanza kwenye siasa kwani huko kinachokubeba ni ukada tu hata kama huna uwezo.
Basi akauchukue nafasi za utaalama huko vyuo vikuu maana nasikia kuna uhaba wa wataaluma wa kufundisha
 
Aisee lumumba alijifanya kuwa mkubwa kumuliko Baba jes na kuwa na vituko vya konakona but wacha mungu aitwe mungu, sante kwa kutumbuliwa
 
Basi akauchukue nafasi za utaalama huko vyuo vikuu maana nasikia kuna uhaba wa wataaluma wa kufundisha

Ataishia kupeleka siasa za kipuuzi tu huko chuoni. Anatakiwa abaki huko porini alime.
 
Huyu anataka tu kujua yake hasiyoweza kuyajua kupitia wadau humu..
 
Mwigulu ni jembe la uhakika ndani ya chama, ujuzi na maarifa yake yatasaidia kupiga chini wenyeviti wa serikali za mitaa mkoani Singida. Novemba 24, 2019 ni mazishi ya CDM yanaanza rasmi mkoani Singida
 
Back
Top Bottom