Endapo Mashtaka ya Erick Kabendera ni ya Kutengeneza basi gharika inakuja

Ndugu wana JF. Mwandishi wa habari ndugu Erick Kabendera leo Novemba 07 alifikishwa tena Mahakamani kwa ajili ya kesi yake kutajwa. Kama ilivyo ada kwa mfumo wetu mbovu wa utoaji haki ni kwamba kesi imehairishwa sababu upelelezi haujakamilika na pia Hakimu aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo ameteuliwa kuwa Jaji.

Nikirudi kwenye msingi wa uzi huu, tangu mwanzo kumekuwa na viashiria kuwa mashtaka ya Erick ni ya kubambikiwa hasa kutokana na mazingira ya kukamatwa kwake ambapo wenye mamlaka walikuwa wakibadili sababu kila wakati hadi walipompiga kesi isiyokuwa na dhamana.

Aidha, Erick Kabendera hivi majuzi aliwaagiza mawakili wake kumuomba msamaha mtu yeyote ambaye atakuwa amekwazika sababu ya shughuli zake za uandishi wa habari. Ni dhahiri kuwa mashtaka ya Erick yametokana na kazi yake na ukosoaji kupitia kazi zake.

Maono yangu ni kuwa, Mwenye Mamlaka aliyesababisha Erick afunguliwe mashatka haya amuachie huru ndugu huyu mapema iwezekanvyo kabla ya mwaka kuisha. Vinginevyo anajua nini kilimpata wiki mbili zilizopita. Anajua kuwa Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema alimfanyia alichofanya ili kumkumbusha kuwa naye ni binadamu na ameumbwa kwa nyama. Anajua kuwa kwa zaidi ya masaa 6 haukuwa na fahamu.

Mwisho , nimeona mateso anayopitia Erick leo. Kuna kila dalili anapata ulemavu wa kudumu. Mama yake ni mgonjwa sana. Ila kuna mtu kwa chuki tu anayafanya haya. Jumapili anakaa siti ya mbele kanisani. Namauonya kuwa mwaka huu hautapita kabla Mungu hajafanya uamuzi wake wa moja kwa moja. Mawakili wa Serikali , nawaonya pia mwaka huu hautaisha kabla ya Mungu kuliiinua Taifa lake dhidi ya uonevu.
na ndio maana Mungu sio terrible teen mbona tungekoma hahhahahhahhahahhahah umeandika pumba na mashudu

mawazo yako hayatotokea ng'o.
 
Huu ugoro ungewalisha watoto wako uliowatelekeza sweeden baada ya kutimuliwa kwa kufanya mambo haramu

Kabla kikundi cha watu wachache hamjafanya vurugu ni bora mtafute kabisa sehemu ya kukimbilia

Uliza maalim seif alivyowadanganya mahzib walivyonyooshwa

Don't try this
Mbona huyo nambali one wenu na timu yake ni wepesi sana kaivuruga system nzima hawapo pamoja amejikoroga sana this nation is no longer strong as it used to be its very fragile in the hands of this lunatic, he has to watch his decisions or rather face the music
 
Muache tu huyo jamaa akabiliane na matokeo ya kuisaliti nchi. Wee unatumwa na mabeberu kuiandika nchi yako vibaya unakubali. Kweli ndiyo utu huo. Ndiyo maana mpaka leo akili yangu haiamni kama huyu jamaa ni raia kamili wa nchi hii. Yale maandiko yalikuwa ni ya mtu mwenye hila na njama.

Pia acha kumpangia Mungu kazi. Labda kama unasema miungu mingine. Wee ni nani mpaka umpangie Mungu kuwa mwezi wa 12 kuna sijui issue gani.
Mbona ushahidi haukamiliki
 
Jiwe hawezi siasa za ushindani na hatokaa aweze, saa hii kinachoendelea kwenye huu uchaguzi ni kipimo cha ujinga wa mtu mweusi.
Anaogopa ushindani kuliko chochote historia haionyeshi keshawahi shinda chochote.
 
Terrible Teen,

Muache tu huyo jamaa akabiliane na matokeo ya kuisaliti nchi. Wee unatumwa na mabeberu kuiandika nchi yako vibaya unakubali. Kweli ndiyo utu huo. Ndiyo maana mpaka leo akili yangu haiamni kama huyu jamaa ni raia kamili wa nchi hii. Yale maandiko yalikuwa ni ya mtu mwenye hila na njama.

Pia acha kumpangia Mungu kazi. Labda kama unasema miungu mingine. Wee ni nani mpaka umpangie Mungu kuwa mwezi wa 12 kuna sijui issue gani.
eliakeem mbona kichwa chako moto sana? lini nchi yake kaiandika vibaya? alikuwa anaitukuza nchi yake na kuihurumia kwa kupata mtawala mbaya! alikuwa anamkosoa mtawala na wala si nchi. hayo maandiko uliyasoma mwenyewe au kuna mtu alikupa tafsiri? kama ulisoma mwenyewe nukuu japo moja hapa jf, nasi tujiridhishe unachokidai. utaeleweka vizuri.
 
Namauonya kuwa mwaka huu hautapita kabla Mungu hajafanya uamuzi wake wa moja kwa moja.
LOoo, lolote lenye kutia matumaini tutalisubiri mkuu, hata kama matumaini hayo ni 'hewa'.
Mwaka 2019 umebaki mwezi tu na wiki kadhaa. Tuanze kujiandaa kwa furaha!
 
Terrible Teen,

Muache tu huyo jamaa akabiliane na matokeo ya kuisaliti nchi. Wee unatumwa na mabeberu kuiandika nchi yako vibaya unakubali. Kweli ndiyo utu huo. Ndiyo maana mpaka leo akili yangu haiamni kama huyu jamaa ni raia kamili wa nchi hii. Yale maandiko yalikuwa ni ya mtu mwenye hila na njama.

Pia acha kumpangia Mungu kazi. Labda kama unasema miungu mingine. Wee ni nani mpaka umpangie Mungu kuwa mwezi wa 12 kuna sijui issue gani.
Mku msamehe tu hizo ni hasira. Hakuna mwanadamu anaejua ya kesho. Sasa yeye amejuaje ya mpaka mwisho wa mwaka huu? Utagundua kabisa kwamba anabashiri.
 
eliakeem mbona kichwa chako moto sana? lini nchi yake kaiandika vibaya? alikuwa anaitukuza nchi yake na kuihurumia kwa kupata mtawala mbaya! alikuwa anamkosoa mtawala na wala si nchi. hayo maandiko uliyasoma mwenyewe au kuna mtu alikupa tafsiri? kama ulisoma mwenyewe nukuu japo moja hapa jf, nasi tujiridhishe unachokidai. utaeleweka vizuri.

Siko katika mabishano na mtu awaye yote. Kwa ufupi kila mtu anavuna anachopanda. Hata tukeshe tunabishana, ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba the guy is behind the bars.
 
Ndugu wana JF. Mwandishi wa habari ndugu Erick Kabendera leo Novemba 07 alifikishwa tena Mahakamani kwa ajili ya kesi yake kutajwa. Kama ilivyo ada kwa mfumo wetu mbovu wa utoaji haki ni kwamba kesi imehairishwa sababu upelelezi haujakamilika na pia Hakimu aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo ameteuliwa kuwa Jaji.

Nikirudi kwenye msingi wa uzi huu, tangu mwanzo kumekuwa na viashiria kuwa mashtaka ya Erick ni ya kubambikiwa hasa kutokana na mazingira ya kukamatwa kwake ambapo wenye mamlaka walikuwa wakibadili sababu kila wakati hadi walipompiga kesi isiyokuwa na dhamana.

Aidha, Erick Kabendera hivi majuzi aliwaagiza mawakili wake kumuomba msamaha mtu yeyote ambaye atakuwa amekwazika sababu ya shughuli zake za uandishi wa habari. Ni dhahiri kuwa mashtaka ya Erick yametokana na kazi yake na ukosoaji kupitia kazi zake.

Maono yangu ni kuwa, Mwenye Mamlaka aliyesababisha Erick afunguliwe mashatka haya amuachie huru ndugu huyu mapema iwezekanvyo kabla ya mwaka kuisha. Vinginevyo anajua nini kilimpata wiki mbili zilizopita. Anajua kuwa Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema alimfanyia alichofanya ili kumkumbusha kuwa naye ni binadamu na ameumbwa kwa nyama. Anajua kuwa kwa zaidi ya masaa 6 haukuwa na fahamu.

Mwisho , nimeona mateso anayopitia Erick leo. Kuna kila dalili anapata ulemavu wa kudumu. Mama yake ni mgonjwa sana. Ila kuna mtu kwa chuki tu anayafanya haya. Jumapili anakaa siti ya mbele kanisani. Namauonya kuwa mwaka huu hautapita kabla Mungu hajafanya uamuzi wake wa moja kwa moja. Mawakili wa Serikali , nawaonya pia mwaka huu hautaisha kabla ya Mungu kuliiinua Taifa lake dhidi ya uonevu.
Ingekua mtu akionewa kuna malipo tusingehangaika hata kushtaki tungekua tunasubiri Mungu aadhibu.
Nadikiri taifa kama USA lingesha hata toweka duniani.
Kwa walichowafanyia Iraq wangeshaadhibiwa balaa na tusingekua tunawaomba msaada
 
Huyo kiongozi wa malaika mwaka huu hataumaliza, kila siku anaomba kuombewa. sijui nani amuombee shetani mkubwa.
 
Huyo kiongozi wa malaika mwaka huu hataumaliza, kila siku anaomba kuombewa. sijui nani amuombee shetani mkubwa.
 
Ndugu wana JF. Mwandishi wa habari ndugu Erick Kabendera leo Novemba 07 alifikishwa tena Mahakamani kwa ajili ya kesi yake kutajwa. Kama ilivyo ada kwa mfumo wetu mbovu wa utoaji haki ni kwamba kesi imehairishwa sababu upelelezi haujakamilika na pia Hakimu aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo ameteuliwa kuwa Jaji.

Nikirudi kwenye msingi wa uzi huu, tangu mwanzo kumekuwa na viashiria kuwa mashtaka ya Erick ni ya kubambikiwa hasa kutokana na mazingira ya kukamatwa kwake ambapo wenye mamlaka walikuwa wakibadili sababu kila wakati hadi walipompiga kesi isiyokuwa na dhamana.

Aidha, Erick Kabendera hivi majuzi aliwaagiza mawakili wake kumuomba msamaha mtu yeyote ambaye atakuwa amekwazika sababu ya shughuli zake za uandishi wa habari. Ni dhahiri kuwa mashtaka ya Erick yametokana na kazi yake na ukosoaji kupitia kazi zake.

Maono yangu ni kuwa, Mwenye Mamlaka aliyesababisha Erick afunguliwe mashatka haya amuachie huru ndugu huyu mapema iwezekanvyo kabla ya mwaka kuisha. Vinginevyo anajua nini kilimpata wiki mbili zilizopita. Anajua kuwa Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema alimfanyia alichofanya ili kumkumbusha kuwa naye ni binadamu na ameumbwa kwa nyama. Anajua kuwa kwa zaidi ya masaa 6 haukuwa na fahamu.

Mwisho , nimeona mateso anayopitia Erick leo. Kuna kila dalili anapata ulemavu wa kudumu. Mama yake ni mgonjwa sana. Ila kuna mtu kwa chuki tu anayafanya haya. Jumapili anakaa siti ya mbele kanisani. Namauonya kuwa mwaka huu hautapita kabla Mungu hajafanya uamuzi wake wa moja kwa moja. Mawakili wa Serikali , nawaonya pia mwaka huu hautaisha kabla ya Mungu kuliiinua Taifa lake dhidi ya uonevu.
Tumeona upande mmoja,tunaomba na uchambuzi kama mashtaka ni ya kweli itakuaje mkuu.
 
Watu wanaojielewa huwa hawatoi vitisho vya kipuuzi namna hii....kumbuka huyu unaemtetea leo hii alikuwa anatumika na watu wabaya wasiolitakia mema Taifa hili...na kumbuka Kuwa ni Mungu ndiye aliyekuwa upande wetu akasaidia kuwezesha Kabendera kuwa ndani Leo hii...maana huyu tungemuachia aendelee na upuuzi wa kutumia kalamu Leo labda mamia na maelfu ya Watanzania wangekuwa wameisha umia na kupoteza maisha but kama kweli Maandiko yake alikuwa Hatumiki na hao Wapuuzi wasiolitakia mema Taifa hili GOD stand for him na kama alikuwa anatumia let him Suffer
Aliandika kipi cha kutishia usalama wa taifa letu mkuu
 
Sijakuelewa umesimamia wapi, umeanza kwa kumuhukumu Kabendera mimi nikashani una uhakika na unachokisema, mwisho unakuja na mashaka, naamini umejishtukia mwenyewe, kama ana kosa ni kitu gani kimewashinda kumpandisha mahakamani kumsomea mashtaki ili haki ichukue mkondo wake, tangu mmemkamata mpaka leo hajaanza kusikizwa, eti ushahidi haujakamilika, Mungu ndie anaejua
 
Back
Top Bottom