Recent content by Kichuya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Yajue Mataifa Yasiyoamini Uwepo wa Mungu

    someka huna Imani na yeye au utafiti wake
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live Updates Ndondo Cupu; Kauzu FC VS Kibada

    patachimbika Misosi ya Tandale inacheza na Kauzu ya Tandika
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live Updates Ndondo Cupu; Kauzu FC VS Kibada

    SAFI KARIBU KAMA UNAI WEZA KAMATI
  4. K

    JamiiForums Tanzania Suala la Vyeti Feki ni Mbwa kala Mbwa

    :rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli ni Tsh1,000 lakini hakuna wateja

    kwa sasa kuagiza ni 3000 akiweka na ya bodaboda
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kileo

    duh
  7. K

    JamiiForums Tanzania Suala la Vyeti Feki ni Mbwa kala Mbwa

    nikiacha kazi nitakula nini na wanangu sasa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Suala la Vyeti Feki ni Mbwa kala Mbwa

    nikitafakari Zaidi nagundua kwamba hawa makenika wa mitaani wanajua sana kuliko hata wahandisi wa vyuo vikuu ima hata wajenzi waliobobea wanajua sana ...................nk
  9. K

    JamiiForums Tanzania Suala la Vyeti Feki ni Mbwa kala Mbwa

    hili nina mashaka nalo sana...........ima hata hivi vyuo vya binafsi kutaka vionekane vimefaulisha...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Suala la Vyeti Feki ni Mbwa kala Mbwa

    kuna muktadha wowote na mada?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Suala la Vyeti Feki ni Mbwa kala Mbwa

    cheti cha kufundisha na ujuzi wa kufundisja sio?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli ana akili kuhusu Ajira, cheki hapa

    wakiwa hewa maana yake pia ni watumishi ambao hawahitajiki kiutendaji ila wako kwenye makatarasi kwa uelewa wangu na kuajiri wengine ni kuongeza mzigo ila pia nikitafakari sana na kujisahihisha, kuna nafasi nakubaliana na wewe kama waalimu kwamba tuna hitaji la waalimu na shule Fulani imeandikwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Suala la Vyeti Feki ni Mbwa kala Mbwa

    Ukweli ni kwamba hata wenye vyeti halisi utendaji wao hautofautiani na hao wenye vyeti feki, na huenda hata wanawazidi wengine Nimefanya kazi na wanaojiita wasomi tena wa haja kwa kiwango cha changarawe lakini kwa kweli nimeishia machungu sana mtu ana Masters ya kitu hicho hicho alichosomea...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli ana akili kuhusu Ajira, cheki hapa

    atakua na akili kama hao 20,000 ambao ni hewa ataajiri wengine 20,000 ambao NI PUMZI hapo nadhani hesabu umeingia chaka maana hewa haiwezi kuwa mtu
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba Alipomtembelea Msemaji wa Simba

    TASWIRA NNE, WAZIRI MWIGULU NCHEMBA ALIVYOFIKA NYUMBANI KWA MANARA KUMJULIA HALI MANENO YA HAJI MANARA, MSEMAJI WA SIMBA AMBAYE JICHO LAKE MOJA LIMEPATA TATIZO LA KUTOONA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh Mwigulu Lameck Nchemba leo jioni alifika kunijulia hali na kuniahidi Serikali...
Back
Top Bottom