Live Updates Ndondo Cupu; Kauzu FC VS Kibada

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Robo Fainali ya mwisho leo

Hadi sasa Dk 55 BILA BILA


Kauzu ya Tandika ina majeshi kama vile Taita, Gumbo R, Jeba

majesh ya Kibada

namuona Hamad Kibopile tu
 
dk 80 bado bila bila

dk tisini ikiwa hivi ni tuta
 
Mpira umeisha Kauzu wanakutana na Misosi ya Tandale nusu fainali
 
13690656_1560747120898472_985821384717629848_n.jpg
 
Back
Top Bottom