Recent content by kichumvi Uboho

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapata Mkopo wa Sh. Trilioni 3.3 toka Standard Chartered Bank kwa ajili ujenzi reli ya SGR

    Tembeeni kifua mbele tunajenga kwa fedha zetu za ndani. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Harmonize - Hujanikomoa

    Hii ngoma japo mipasho ila iko vizuri italeta amsha amsha kwenye disco vumbi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Bungeni: Serikali haiongozi kibabe na wala haijakataza mikutano ya kisiasa

    Mkuu Waziri mkuu hana uwezo wa kuruhusu mikutano kwa kuwa aliyezuia si yeye. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Harmonize - Hujanikomoa

    Wazee dude hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia kwenye mkutano wa injili wa Mwamposa Moshi

    Nitakua mtu wa mwisho kuinywa hii Chai maana ya moto sana. YEHODAYA, Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuna wasanii hawajawahi kuimba nyimbo mbaya

    Allan walker Hollow[emoji91][emoji91][emoji91] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Almanusura nimtoe roho Bosi wangu leo kwa kipigo kizito ofisini

    We jamaanimefuatilia nyuzi zako una kamba kweli....! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tuliisema sana Clouds sasa zamu ya Wasafi Media, nao wanaenda njia ile ile

    Walisema ya kwetu sote..na media wao hawana bifu mbona kiba na boss wao wana msuguano mkali na wanapiga nyimbo zake hata kumtangaza. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tuliisema sana Clouds sasa zamu ya Wasafi Media, nao wanaenda njia ile ile

    Mkuu inaweza ikawa kweli ila kwa hali ilivyo sasa hakun msanii hasa ambaye hana media akakataa nyimbo yake isipigwe mahala flani...inawezekana konde akawa jeuri lakink hana huo ubavu wa kukataa. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tuliisema sana Clouds sasa zamu ya Wasafi Media, nao wanaenda njia ile ile

    Uko sahihi kabisa na sasa Media inaenda kuwa ya kifamilia zaidi matukio yaliyowekwa mbele ni ya kifamilia zaidi. mng'ato, Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tuliisema sana Clouds sasa zamu ya Wasafi Media, nao wanaenda njia ile ile

    Sasa mbona hawapost? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tuliisema sana Clouds sasa zamu ya Wasafi Media, nao wanaenda njia ile ile

    Mkuu si kweli unataka kuniambia wasanii wote wengine nao wamepeleka kazi zao? Harmonize hata alipokuwa amewekwa kwenye kinyang'iro cha tuzo hawajawahi hata kumuongelea,,muda ni rafiki utathibitisha tu haya. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tuliisema sana Clouds sasa zamu ya Wasafi Media, nao wanaenda njia ile ile

    Habari wanajamvi Mimi sio mwandishi mzuri ila kuna kitu nimeanza kukiona kwenye hii Media mpya ambayo ina msemo "Hii ni ya kwetu sote". Ukweli ni kwamba siku hizi hii media imeanza kususa kabisa kupromote mambo au kazi zinazomuhusu Harmonize. Mfano Harmonize jana ameachia video ya wimbo wake...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Thank you so much Dear Ex

    Wakati nasubiri matokeo ya form six 2014 nilienda kuishu kwa bro wangu mitaa ya kinyerezi mwisho.Nilikaa kwa bro kwa miezi 3 yeye anamke na mtoto mmoja..sasa katika ule mtaa kulikua na manzi mmoja mpole sana kipindi hiko yupo kidato cha nne katika shule ya sekondari kinyerezi. Yule manzi alikua...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania iimarishe ushirikiano na Iran, Korea Kaskazini na jeshi liwe tayari kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani endapo wataendelea kutuandama

    Nadhani utakua umefungua uzi huku ukiwa umekalia Mpini. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom