Recent content by kichomoncho

  1. kichomoncho

    JamiiForums Tanzania Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

    Wadau sio Siri kati ya watu waliopata mke ni Mimi nao tuna 4 kids ila my wife zaidi ya wife material yaani namba moja kubwa capital letter kuanzia tabia,shape mpaka mambo Fulani na zaidi kafa kaoza kwangu mzee wa mashine ila sasa Mimi ndo namuangusha sasa hivi najitahidi sana kuwa mume bora
  2. kichomoncho

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua mchele wa mwaka huu halafu niuuze baadaye

    Kuna watu humu wanakatisha tamaa kabisaa hakuna biashara isiyokuwa na changamoto Cha msingi ni uvumilivu, Mimi hii biashara ya mchele nafanya sana hiyo interval ya miezi ndio nadeal nayo tena inalipa sana. Nunua mpunga mzuri na uliokauka Bei inategemea ila Mimi nilipo shilingi inazaa shilingi...
  3. kichomoncho

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ni mazuri kuliko walezi wangu kwa kipindi chao. Je, nipo kwenye uelekeo wa kutusua au zama tu zimebadilika?

    Weka Kwanza umri alafu tupime Sasa tuanzie hapo
  4. kichomoncho

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nifanyeje nipate mke haraka umri unatupa mkono

    Umechelewa sana Kamanda Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kichomoncho

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kusoma masomo ya sekondari kupitia elimu ya watu wazima

    Unaweza soma veta na ukapata sifa ya kuendelea mpaka level ya diploma Nacte
  6. kichomoncho

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Hasara inauma asikwambie mtu

    Pole sana mkuu
  7. kichomoncho

    JamiiForums Tanzania Generator 5.5KVA linajitajika

    IPO zec ya 4.5 kW current 18A
  8. kichomoncho

    JamiiForums Tanzania WanaJF mnakumbuka hii hadithi? Sadiki na Chitemo

    Bonobo na bunuazi miaka ya 50
  9. kichomoncho

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa huu umenimalizia tikiti nifanye nini kuepuka nao

    Nitafute 0622182016 Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
  10. kichomoncho

    JamiiForums Tanzania Mwanza ni kiini cha mabadiliko ya kiutawala Tanzania!!

    Mmefika mbali
Back
Top Bottom