Recent content by kicholongeo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Alikufanyaje, Ukamfanyaje? Bad experience za kuumiza

    vipi, ulimpata? au uliamua kumfundisha adabu akafie mbele!
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue Kibera- Nairobi, Kenya:- Moja ya makazi duni ya mabanda (slums) makubwa 10 katika dunia

    una uhakika huo ujenzi unafanyika kibera? au nyang'au linatuma tu mipicha yake ya kuokoteza!
  3. K

    JamiiForums Tanzania App / Link ya kuicheki game online

    wakulungwa wako kimyaa!
  4. K

    JamiiForums Tanzania App / Link ya kuicheki game online

    saa 4
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlioachana na wake zenu wa ndoa, ushuhuda au ushauri wenu unahitajika tafadhali

    ...mambo ya kizamani kwa ndoa za kizamani! kikao na wazazi? ili iweje!
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlioachana na wake zenu wa ndoa, ushuhuda au ushauri wenu unahitajika tafadhali

    ...unaongea nini wewe! ukikua utaona kama si kwako, basi kwa ndugu yako au hata kwa rafiki au jirani! anachoshauri jamaa ni sawa kabisa!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tuliofunga gesi kwenye magari njooni tupongezane, bajeti ya mafuta kutoka 900,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi

    mkuu hii ni habari njema! hebu jaribu kufafanua, hii ni habari njema hasa katika kipindi hiki! hebu anzia kwenye vituo vya ufungaji, gharama ya ufungaji kama ni kutegemeana na aina ya gari au ujazo wa gas yenyewe, na pia ni kwa jinsi gani inakuwa nafuu katika matumizi kulinganisha na mafuta ya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dunia haina usawa: Wakati Shule ya St. Francis Girls ikiwa na Div One za 7 zipatazo 41, Mkoa wa Kaskazini Unguja hauna Div One hata moja

    mkuu si ndio hao wanaoitibu familia yako! au unataka wajitambulishe kuwa sisi ni product ya shule furani?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Dunia haina usawa: Wakati Shule ya St. Francis Girls ikiwa na Div One za 7 zipatazo 41, Mkoa wa Kaskazini Unguja hauna Div One hata moja

    kati ya makundi haya yupi mwenye option zaidi ya moja? yaani kuweza kuajiriwa na kujiajiri pia! kundi hilo lenye option zaidi ya moja ndio litakuwa limekombolewa na elimu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dunia haina usawa: Wakati Shule ya St. Francis Girls ikiwa na Div One za 7 zipatazo 41, Mkoa wa Kaskazini Unguja hauna Div One hata moja

    Dah! mkuu utakuwa na tatizo kwa head lako! una uhakika kabisa kuwa wanaopata one ya saba hawana pa kwenda! na ni wajinga! bali wazenji wanaopata zero ni wajanja kwa sababu wataenda kuuza spares! iko haja ya kukuombea nafasi ya upendeleo pale St Francis ukaelimike!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dunia haina usawa: Wakati Shule ya St. Francis Girls ikiwa na Div One za 7 zipatazo 41, Mkoa wa Kaskazini Unguja hauna Div One hata moja

    vp mkuu umeangalia mchango wa wataalamu kwa mfano sekta ya afya ambayo kimsingi yanahitaji elimu? nafikiri madaktari wasomi ndo wanasaidia kuiponya afya yako inayoshambuliwa mara kwa mara kutokana na ujinga wako!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    ushauri mzuri sana mkuu, hasa linapokuja suala la trading psychology!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    matumizi yake mkuu, kwenye trading chart
  14. K

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    jazia nyama kidogo kwenye maelezo yako, japo robo kilo! kama Shukurani mkuu kwa kunipa mwanga, ngoja nichek hiyo link nijue jinsi pia ya kuziona na kuzchora kwenye chart
  15. K

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu jazia nyama kidogo kwenye maelezo yako, japo robo kilo! kama hutajali lakini!
Back
Top Bottom