Tundu Lissu Tunakuombea Afya Njema Nguvu na Ulizi wa Mungu na Malaika wake wakulinde katika yote Magumu Unayo Pitia.
Neno hili la Zaburi Likawe Faraja Kwako - Zaburi 27: 1- 6
Magufuli Umejinasibu Kuwa Wewe ni Mcha Mungu. Hakikisha Tundu Lissu Anakuwa ktk Mikono Salama, Hadhiriki kwa Lolote iwe...
Hili Tatizo hata mimi limenikumba. Nasikitika kusema kuwa wauzaji wa hizi mbao wanasema ni Treated lkn kiuhalisia haziko treated, wanatutapeli hela zetu kwa kutuuzia mbao ambazo zimechovya kwenye dawa lkn hazija chemshwa na dawa.
Mti kwa kawaida una Starch au wanga ambao ndio kivutio kikubwa cha...
Hivi leo tuseme kila mwanamke arudi kwa mwanaume wake wa kwanza wewe ungebaki na nani!? Au ni nani angerudi kwako na wangapi!?
Hii naona ni sawa. Malipo yote ni hapa duniani kwa Muowaji na Huyo dada aliye olewa.
Ni wangapi humu ndani waliooa na kuwakuta Wake zenu bikira!? Kama hukumkuta...
Binadamu tumefikia hatua ya Kumkosoa Mungu. Kila alicho kiumba Mungu ni chema. Binadamu ameumbwa kwa sura na mfano wake Mungu. Kila Mungu alicho kiumba Mola kina sababu yake.
-Nasisitiza, ili mita iliyopo kwenye nguzo iweze kuonana na (kiwasilianishi) kwa lugha nyepesi call it remote, hakikisha imepachikwa ktk socket.
- Jambo jingine Nakushauri badilisha Betri ( weka betri mpya) kisha fuata maelekezo niliyo kupa.
- Kama umeme umekwisha kabisa ktk mita yako, nenda kwa...
Ili kuweza kutumia mita yako ya LUKU fanya yafuatayo
1. Hakikisha betri za remote yako ni nzima na zimewekwa kwa usahihi ktk sehemu ya betri.
2. Hakikisha Main Switch na Circuit Breaker ya nyumba yako zimewashwa/ ziko ON.
3. Pachika remote yako ktk switch socket moja wapo na hakikisha inakuwa...
Magufuli usifanye Makosa Kung'oa Mramba Tanesco. Fanya uchunguzu umfahamu Mramba ni nani na Tanesco amefanya nini na anafanya nini.
Mramba ni Mwadilifu na mwaminifu mchapa kazi siku zote.
Tumeshuhudia Tanesco ikiinarika siku hadi siku. Huduma zikiboreshww utendaji wa uwazi ukiongezeka. Shirika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.