Recent content by Kichiringa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Chausiku Huyu HAPAAAA

    Mbona kama alinawia uso maji ya mgodini?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nape aongoza mazishi ya Sharomillionea

    Kila nafsi itaonja umauti.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nape aongoza mazishi ya Sharomillionea

    Apumzike kwa amani.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Picha; Sitisho la Mikutano ya siasa kwa ajili ya Sensa na yaliyojiri Nyololo na Bububu!!!!

    entobi umeziona hizo picha?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

    Aeleze ukweli tuuuuu... LIWALO NA LIWE.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mathias Chikawe: Hakuna watanzania waliohusika kashfa ya BAE!

    Mkuu hatufiki popote. Ila isikupe presha kwa sasa. Mambo ya kulindana yana mwisho wake. Hata wengine.....waliwahi kulindwa lakini ikafika kipindi tukawasepesha. Lets keep insisting.........:israel::israel:
  7. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C

    Sio meya wewe!! Hapa kwenu meya huwa kwa jina maarufu mnamwitaje eti?? Hili ni jambo dogo sana kwa M4C.......yapo mengi sana yanatarajiwa hasa kwa vilaza kama Magamba. Mtaelewa tuu kadri siku zinvyosonga. leo Chopa kesho mnajua ni nini kinakuja?????????????? :A S-confused1::A...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    aiseeeeee..... nadhani litakalofuata ni mwananchi then........uhuru litabaki milele.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    Msiba, kweli nimeamini una Msiba. Ukiisha huo msiba tujuze.......
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rushwa Bungeni: Mbatia sasa atishia kuwataja wakati wowote

    Nimeipenda hii "NIPIGE UONE" Awataje tuu Liwalo na Liwe.Okeeeeee......
  11. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo cha hairdressing Dar es salaam

    Kuna chuo kinaitwa Macmillan Training College kinatoa course km hiyo 'Certificate in Hairdressing and Beauty' for 6 months kwa ada ya TZS 400,000 tu....km vip check hii web yao. (www.macmillantrainingcollage.com) au email: mac@macmillantrainingcollage.com unaweza pia kupiga sim no. 0715-367123...
Back
Top Bottom