Mi nakushauri fungua salon alaf chukua mtu ambae anaweza izo shughuli za salon kwa ufasaha yeye uyo ndo atakuwa mwalimu wako ukiwa na bidii utajua mapema kuliko uko kwenye vyuo maana nimeona watu kadhaa wamesomea lkn wakija salon hawawezi kwani mafunzo yao hayana uhalisia!
mm nakushauli acha harka maana kesho ujui ktatkea nini ww kuwa mvmlvu myKuna chuo kilikuwa pale makumbusho kitambo kiasi, upande wa chaga bite. Nadhani kati ya break point na chaga bite hapo in-between.
Kila la kheri.